GE2025 CCM Kilosa yawaonya wagombea kutojihusisha na vitendo vua rushwa

GE2025 CCM Kilosa yawaonya wagombea kutojihusisha na vitendo vua rushwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kilosa kimetoa onyo kwa wagombea wa nafasi ya Udiwani na Ubunge ndani ya Chama hicho kutojihusisha na Vitendo vya rushwa kwani ni kosa kufanya hivyo.

Wito huo umetolewa na Katibu wa CCM Wilaya hiyo Jonus Mfaume wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake.
 
Nmemkumbuka marehe mustafa mkulo hii miezi ndy angekuwa anasogeasogea

Ova
Mkulo kapaacha kimamba pako hovyo hata lami kutoka Rudewa kuja Kimamba hazizidi 20km eti alishindwa. Now yuko Kabudi anajilia mema tu
 
Mkulo kapaacha kimamba pako hovyo hata lami kutoka Rudewa kuja Kimamba hazizidi 20km eti alishindwa. Now yuko Kabudi anajilia mema tu
Kipindi hicho niko milima ya lumbiji nlikuwa na mradi wangu mmoja,nkishuka batini pale nakaa napiga vyombo vyangu kuna siku nlimgumia nkampiga sana maswali kuhusu maendeleo ya huko,majibu yake ilikuwa maneno siasa mingi tu
Alipaacha ovyo kweli kweli
Sana sana kwenye miundo mbinu
Nk
Sasa yeye waziri wa fedha wakati huo alishindwa kuwapigania
Jamaa sema alikuwa mbinafsi sana

Ova
 
Mkulo kapaacha kimamba pako hovyo hata lami kutoka Rudewa kuja Kimamba hazizidi 20km eti alishindwa. Now yuko Kabudi anajilia mema tu
Baada ya kushindwa Kimamba - Rudewa, angalau angeiunganisha Kimamba na Kilosa kwa lami!
 
Back
Top Bottom