Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Huna imani na hilo mkuu?Wako serious kweli?
ccm na rushwa wanaweza kuachana kweli?
Sidhani ktk hili!
Nmemkumbuka marehe mustafa mkulo hii miezi ndy angekuwa anasogeasogeaVichekesho confine hivi hapa๐๐๐
Mkulo kapaacha kimamba pako hovyo hata lami kutoka Rudewa kuja Kimamba hazizidi 20km eti alishindwa. Now yuko Kabudi anajilia mema tuNmemkumbuka marehe mustafa mkulo hii miezi ndy angekuwa anasogeasogea
Ova
Kipindi hicho niko milima ya lumbiji nlikuwa na mradi wangu mmoja,nkishuka batini pale nakaa napiga vyombo vyangu kuna siku nlimgumia nkampiga sana maswali kuhusu maendeleo ya huko,majibu yake ilikuwa maneno siasa mingi tuMkulo kapaacha kimamba pako hovyo hata lami kutoka Rudewa kuja Kimamba hazizidi 20km eti alishindwa. Now yuko Kabudi anajilia mema tu
Baada ya kushindwa Kimamba - Rudewa, angalau angeiunganisha Kimamba na Kilosa kwa lami!Mkulo kapaacha kimamba pako hovyo hata lami kutoka Rudewa kuja Kimamba hazizidi 20km eti alishindwa. Now yuko Kabudi anajilia mema tu