The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri.
View attachment 3365652
Yuko anawapimia tu, watakuja kumuelewa very soonTunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri.
View attachment 3365652
Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri.
View attachment 3365652
Haya waseme Ponjoro kile alichofanya jana ndio kutetea wananchi au ndio ahadi yake kwa wana Kinondoni? Kuna nyakati silence inakua na maana zaidi ya kupanua kinywaTunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri.
View attachment 3365652
Tunataka msendeleo sio.maneno matupu,Mbunge hajatimiza ahadi zake hata moja.Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri, hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbula.
Video: FLOW MEDIA tz
Ni watu wa sampuli hii hapo akili iko disconnected ni tumbo ndio linafanya kazi.Hivi hao wanaopigaga makofi huwa wako timamu?