Mkiambiwa hapa Tz shida ni raia muelewe. Yani wananchi mnageuzwa mazuzu. Muda si mrefu mtakata viuno tena kumpigia debe kibaka mpya kumpa ulaji.
Mchungaji kawapigeni za uso na ahadi za kuwapeleka mamtoni, leo kawapatieni kweli kwa kuibuka na hoja ya kupiga vita utekaji. Uongo wote mshasahau. Utasema hakuunga mkono serikali iliyozima nyota ya Ben Saanane.
Sasa mnaandaliwa clown mwingine. Na mtamtetea tu kwa lugha ya mitano tena.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tz. Usiwabariki...