The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Bahati mbaya sana inaonekana wote hawa hawajui sheria! kwa sababu kama hilo ni kweli itabidi waelezee na kutetea yale waliyoyafanya kwa kuwatembeza wagombea wao vijijini katika kura za maoni. Wataelezea ni tofauti gani kati ya "kumtambulisha mgombea wa CCM" na hotuba za JK aliposema kuwa "endapo mkinichagua".. Waache uhuni wa kisiasa; kama kampeni hazikuanza wakati CCM wanatafuta wadhamini, na kumtambulisha mgombea wao basi kampeni hazijaanza kwa Chadema kutafuta wadhamini na kumtambulisha mgombea wao..
Vinginevyo, itakuwa ni yale ya "mkuki kwa nguruwe mtamu..."
Hawa wazee wa CCM naona akili zao zimezeeka
kwa kawaida ukiona mtu ameanza woga na kutetemeka tisha kama unamsogelea anaweza kujikoj......(samahani). Kinachotakiwa sasa Chadema iendelee kutisha nakuwasogelea hadi jikoni wampelekee kadi hata Makamba ikiwezekana, si mbali trh 14 mtikisiko unakuja wautumie huo baada ya hapo kitakachobaki ni kama kumsukuma mlevi.Mkuu wamezeeka kama chama chao kilivo zeeka na kuoza, kinapumua kwa oxygeni ya nguvu ya dola jesh na TISS period!
By the way hii inatia moyo kwamba woga umeisha wajaa wanaanza kulia lia sasa!, tulizoe kusikia vyama pinzani vikilalamika nao wakivibeza kwamba ni walalmishi tu, sasa ngoma inogile.. wamenza onja joto ya upinzani kabla ya 31 ocotber!
Go, go our president Dr. Wa slaa
Hizi ni dalili za mwanzo kuwa mambo si shwari huko CCM.MAJI YA SHINGO....
Kikwete kule Dodoma hakuomba kura ili aendeleze mafanikio ambayo hayapo unataka kutuambia nini au unajifanya hukumbuki acha kuleta za kuleta watu wanakumbukumbu tunazo hadi kanda zake tutazirusha BBC mkikatalia redio zenu, mwaka huu kama kudata tumedata mmezoea sana nyie.Hili ni tatizo lazima tuliseme. CCM km wamefanya kampeni ni kosa na haimaanishi basi na CHADEMA wafanye. Kuna sheria na suala la msingi ni kuangalia sheria zinasemaje? Ukweli kinachofanyika ni kampeni. Mf km wafanyakazi nipeni kura zenu, kina mama nk. Dr Slaa sio wa kwanza kuomba wadhamini lakini style inayotumika ni kampeni. Kwahiyo km CCM wamelalamika, kwanini CHADEMA hawakulalamika??? Ni vyema kama kuna sheria sote tujifunze kuishi kwa sheria maana two wrongs...
Labda ni kueleze sina sababu ya kuleta za kuleta maana hata sizijui hizo za kuleta. Mwishoni nimesema two wrongs......Lakini pia CCM wanaweza kuwa na hoja kuwa wao walikuwa kwenye mkutano wao wa KICHAMA ambao unahusisha wanachama wa chama husika na ridhaa alikuwa akiiomba ndani ya CHAMA. Lakini hili la Slaa ni kwamba ridhaa inaombwa kwa Watanzania. Ingawa kiuhalisia ni vigumu kuwaomba wananchi udhamini bila kuwaeleza utawafanyia nini, lakini wakati wa kuomba udhamini huo unaweza kuwa umepitiliza kwenye kampeni kama utagusia CHAMA kingine. Its abit technical lakini hili lisitufanye viziwi kuwa hatutambui uwepo na mamlaka ya Taasisi zetu. Maana kama hatutaheshimu taasisi zilizopo kisheria basi kwa vyovyote vile malengo yetu pia yanakuwa ni yenye mashaka.Kikwete kule Dodoma hakuomba kura ili aendeleze mafanikio ambayo hayapo unataka kutuambia nini au unajifanya hukumbuki acha kuleta za kuleta watu wanakumbukumbu tunazo hadi kanda zake tutazirusha BBC mkikatalia redio zenu, mwaka huu kama kudata tumedata mmezoea sana nyie.
Hili ni tatizo lazima tuliseme. CCM km wamefanya kampeni ni kosa na haimaanishi basi na CHADEMA wafanye. Kuna sheria na suala la msingi ni kuangalia sheria zinasemaje? Ukweli kinachofanyika ni kampeni. Mf km wafanyakazi nipeni kura zenu, kina mama nk. Dr Slaa sio wa kwanza kuomba wadhamini lakini style inayotumika ni kampeni. Kwahiyo km CCM wamelalamika, kwanini CHADEMA hawakulalamika??? Ni vyema kama kuna sheria sote tujifunze kuishi kwa sheria maana two wrongs...