Labda ni kueleze sina sababu ya kuleta za kuleta maana hata sizijui hizo za kuleta. Mwishoni nimesema two wrongs......Lakini pia CCM wanaweza kuwa na hoja kuwa wao walikuwa kwenye mkutano wao wa KICHAMA ambao unahusisha wanachama wa chama husika na ridhaa alikuwa akiiomba ndani ya CHAMA. Lakini hili la Slaa ni kwamba ridhaa inaombwa kwa Watanzania. Ingawa kiuhalisia ni vigumu kuwaomba wananchi udhamini bila kuwaeleza utawafanyia nini, lakini wakati wa kuomba udhamini huo unaweza kuwa umepitiliza kwenye kampeni kama utagusia CHAMA kingine. Its abit technical lakini hili lisitufanye viziwi kuwa hatutambui uwepo na mamlaka ya Taasisi zetu. Maana kama hatutaheshimu taasisi zilizopo kisheria basi kwa vyovyote vile malengo yetu pia yanakuwa ni yenye mashaka.
Sasa ndio wakati ule wakati ambao CCM wanatakiwa kutambua kuwa hawana hati miliki ya nchi hii na kwamba mgombea wao kuanza kampeni mapema ni halali bali kwa wengine ni haramu.
Tatizo kubwa la CCM ni kuwa kumbukumbu zao ni ndogo sana na hawana kiongozi wa kuweza hata kukumbuka kuwa mgombea wao alianza kampeni hata kabla ya Dr. slaa. Kwa wao kulalamika ni njia mojawapo ya kumuumbua mgombea wao mwenyewe. poor guys
Katika taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku huu, makamu mwenyekiti wa CCM bara Pius Msekwa amenukuliwa akisema kwamba Chadema wameanza kampeni kabla ya muda.
Kutokana na hilo, katibu wa CCM taifa, Yusufu Makamba atapeleka malalamiko yao huko tume ya taifa ya uchaguzi, yaani NEC.
Mambo yameanza. Ngoma inogile.
Kwa maoni yangu, huu ni msimamo binafsi wa Mzee wetu, Yusuph Makamba, uwezo wake wa kufikiri, unajulikana wazi, kwa kifupi ni mropokaji tuu japo kwa mijubu wa wadhifa wake, baadhi ya kauli zake zinaweza kuchukuliwa kuwa ni kauli za chama.Katika taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku huu, makamu mwenyekiti wa CCM bara Pius Msekwa amenukuliwa akisema kwamba Chadema wameanza kampeni kabla ya muda.
Kutokana na hilo, katibu wa CCM taifa, Yusufu Makamba atapeleka malalamiko yao huko tume ya taifa ya uchaguzi, yaani NEC.
Mambo yameanza. Ngoma inogile.
yaani uko right kabisa tusubiri tuone mabo yatakuwaje mwezi novembaKatika taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku huu, makamu mwenyekiti wa CCM bara Pius Msekwa amenukuliwa akisema kwamba Chadema wameanza kampeni kabla ya muda.
Kutokana na hilo, katibu wa CCM taifa, Yusufu Makamba atapeleka malalamiko yao huko tume ya taifa ya uchaguzi, yaani NEC.
Mambo yameanza. Ngoma inogile.
Labda ni kueleze sina sababu ya kuleta za kuleta maana hata sizijui hizo za kuleta. Mwishoni nimesema two wrongs......Lakini pia CCM wanaweza kuwa na hoja kuwa wao walikuwa kwenye mkutano wao wa KICHAMA ambao unahusisha wanachama wa chama husika na ridhaa alikuwa akiiomba ndani ya CHAMA. Lakini hili la Slaa ni kwamba ridhaa inaombwa kwa Watanzania. Ingawa kiuhalisia ni vigumu kuwaomba wananchi udhamini bila kuwaeleza utawafanyia nini, lakini wakati wa kuomba udhamini huo unaweza kuwa umepitiliza kwenye kampeni kama utagusia CHAMA kingine. Its abit technical lakini hili lisitufanye viziwi kuwa hatutambui uwepo na mamlaka ya Taasisi zetu. Maana kama hatutaheshimu taasisi zilizopo kisheria basi kwa vyovyote vile malengo yetu pia yanakuwa ni yenye mashaka.
Hili ni tatizo lazima tuliseme. CCM km wamefanya kampeni ni kosa na haimaanishi basi na CHADEMA wafanye. Kuna sheria na suala la msingi ni kuangalia sheria zinasemaje? Ukweli kinachofanyika ni kampeni. Mf km wafanyakazi nipeni kura zenu, kina mama nk. Dr Slaa sio wa kwanza kuomba wadhamini lakini style inayotumika ni kampeni. Kwahiyo km CCM wamelalamika, kwanini CHADEMA hawakulalamika??? Ni vyema kama kuna sheria sote tujifunze kuishi kwa sheria maana two wrongs...
Mkutano wa kichama uliishia kwenye ukumbi. Watu wanahoji, alipoenda Uwanja wa Jamhuri pale Dodoma alienda kuhutubia wana CCM ama wananchi? Agenda pia haikuwa kuomba ridhaa, bali walisema wanamtambulisha mgombea Urais na mgombea mwenza.
Baada ya hapo safari ikaendelea kwenda Unguja ambako Karume alidai kuwatambulisha Dr. Shein na Dr. Bilal.
Hivyo vyote havikuwa vikao vya chama, ilikuwa ni mikutano ya hadhara na wala si kuomba ridhaa ya wanachama, maana chama kilishawateua tayari.
tuwekee hiyo video tafadhaliHIvi wamesahau hotuba ya JK baada ya kuchukua fomu toka NEC wiki iliyopita... ? wamesahau kauli zake kuwa "kama mkituchagua".. au tuwawekee na video kuwakumbushia.. au ndiyo yale ya "kunya anye kuku, akinya bata...."