Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kikao kinafanyika LumumbaKuwakusanya watu wengi kutoka mikoani ili kwenda kukutana Dodoma na kumthibitisha Samia ni upotezaji wa muda, fedha na kuwaweka watu kwenye risk kubwa ya kucontract corona
Samia kaingia “kumalizia” muda uliobaki wa awamu ya tano. Apewe tu uenyekiti automatically kumaliza muda wa uenyekiti wa chama as well bila kuwapotezea muda watu
Nyie mlitaka kumrip Sumaye!Makamo wa Mwenyekiti Bara mlitaka kum RIP lakini Mungu alikua upande wake.
😆😆 haviendani kabisa !KUB na Mwenyekiti
Nimekuelewa sana, chama kisiwe state apparatus!CCM sasa inapaswa kuwa makini.
Kati ya maswala yaliyonihuzunisha ni mzee Mangula kupewa sumu NDANI ya ofisi za chama.
Tukumbuke kuwa hayo yalitendwa na watu au mtu aliyeko ndani ya chama , na si mtu mdogo.
Kuna haja chama kurudishwa kwenye mikono ya wenyewe wananchi.
CCM isiwe state apparatus.
Hafai, hafai, hafai.Polepole anaweza kuwa makamu wa rais maana ni kijana ni rahisi hata kumtuma pili ..ana uwezo mkubwa wa kusimamia mambo
Bado unahasira sana...Tanzania ina taasisi imara kuliko mlivyotaka kuaminisha dunia
Unavyoandika na kuchangia humu sasa hivi inaonyesha umekosa ujasiri na kupooza kabisaKomredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki.
Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo.
Maendeleo hayana vyama!