CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

Kuwakusanya watu wengi kutoka mikoani ili kwenda kukutana Dodoma na kumthibitisha Samia ni upotezaji wa muda, fedha na kuwaweka watu kwenye risk kubwa ya kucontract corona

Samia kaingia “kumalizia” muda uliobaki wa awamu ya tano. Apewe tu uenyekiti automatically kumaliza muda wa uenyekiti wa chama as well bila kuwapotezea muda watu
Kikao kinafanyika Lumumba
 
CCM sasa inapaswa kuwa makini.
Kati ya maswala yaliyonihuzunisha ni mzee Mangula kupewa sumu NDANI ya ofisi za chama.
Tukumbuke kuwa hayo yalitendwa na watu au mtu aliyeko ndani ya chama , na si mtu mdogo.
Kuna haja chama kurudishwa kwenye mikono ya wenyewe wananchi.
CCM isiwe state apparatus.
Nimekuelewa sana, chama kisiwe state apparatus!
Serikali inasimamia chama🤔
Shida nyingi zimeanzia hapo!
Vivuruge kina Lugola kulazimisha makamanda kutembea na ilani e.t.c!

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Bado unahasira sana...Tanzania ina taasisi imara kuliko mlivyotaka kuaminisha dunia

..Magufuli alihalalisha matendo ya UKATILI dhidi ya wafuasi wa vyama vya upinzani.

..mategemeo yangu ni kwamba Mama Samia atarejesha HAKI, na utawala unaofuata sheria na katiba.
 
Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki.

Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo.

Maendeleo hayana vyama!
Unavyoandika na kuchangia humu sasa hivi inaonyesha umekosa ujasiri na kupooza kabisa
 
Back
Top Bottom