CCM kuitoa madarakani kwa kura ni ndoto za mchana

CCM kuitoa madarakani kwa kura ni ndoto za mchana

Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
681
Reaction score
2,503
Watu , mnaosema kuitoa madarakani kwa kura ni ndoto za mchana.

Kwanza Upinzani msipopata vitu viwili ccm itabaki madarakani sana
(|) Independent committee
(||) New constitution

Mkiweza kupata hayo mambo basis Ikulu mnaingia bila nguvu.

Binafsi siko tiyari kufanya demonstration kuitoa CCM madarakani. kwa upuuzi huu wa kusifu na kuabudu viongozi wasiojitambua. Ambao hawataki kuongoza mapambano ya haki.
 
CCM bila NEC na POLICCM asubuhi Misa ya Kwanza wanadondokea PUA.
 
Back
Top Bottom