CCM kujibu Hoja kwa Hoja ni Uongo tusidanganye; Tunachoweza kukifanya sanasana ni Kukanusha

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Mambo ya Hoja kujibiwa kwa Hoja CCM haiwezi tusidanganyane!

Kinachowezekana Ukileta Hoja iwe ya kweli au uongo ITAPINGWA Kwa KUKANUSHWA bhaasi! Ndo imeisha hivyo!

Mfano!
1. Sakata la ndege kubeba wanyama na blah blah blah za kutoroshwa wanyama! Jibu lake ni HAPANA! HAKUNA MNYAMA ALIYEIBIWA (imeisha hivyo)

2. Hapo mkuranga kuna kijana anaitwa CHIFU Alipigwa na polisi hadi KUFA, Mzazi anafuatilia karibu mwaka sasa hajapewa majibu zaidi wanakanusha na kupiga danadana, polisi wakiulizwa wanakanusha, DC ukimuuliza anasema majibu anayo RC, na akiulizwa RC anasema majibu anayo RPC, naye RPC akihojiwa anasema HAKUMBUKI Lakini taarifa ya jambo hilo alimkabidhi RC !...sasa mambo meupe kama haya HAYANA MAJIBU je kipi kina majibu?

3. Sakata la wahudumu wa zahanati kugomea kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda wake kule tabora!
Jibu lake kutoka kwawaziri hata kabla ya uchunguzi kufanyika alikanusha HAKUNA VIFAA VILIVYOISHA MUDA WAKE nchi nzima, pia chama cha wauguzi (TANNA) Nacho kimepita mulemule! HAKUNA KIFAA TIBA AU KITENDANISHI kilichoisha Muda wake!

Swali la kujiuliza!
HAPO WAMEJIBU HOJA au WAMRKANUSHA?

Kama VIDEO inaonesha dhahili watumishi wanabishana LAIVU!
Je: mangapi ya mafichoni yanakanushwa? Je, mauzauza mangapi yanafunikwa?

HOJA KUJIBIWA KWA HOJA HAITOKAA ITOKEE KWA STYLE HII

NASHAURI sheria iruhusu Kumshitaki MTU binafsi hata kama atafanya kosa akiwa ndani ya TAASISI!

Yaani nesi ashitakiwe binafsi siyo hospital, Polisi akiharibu ashitakiwe binafsi na siyo kusubili kauli ya bosi wake, Dawasco mfanyakazi akizingua adakwe yeye, tanesco akizingua adakwe mtu binafsi!

LABDA TUTANYOOKA KIDOGO
 
Watapiga mkwara watazuia hata media kuripoti mikutano ya upinzani
 
JamiiForums-525517479.jpg
 
WAPUMBAVU TU NDIO WANALICHAGUAGA HILO ZIMWI.
 
Back
Top Bottom