CCM kujivua gamba kwa kulivunja baraza la mawaziri!

Hana ujasiri huo, angeweza kulivunja baraza baada ya kuapishwa, akashindwa.

Plus Mjaliwa hana shida yoyote , DPW ni zigo la SSH mwenyewe.
 
Kumbe bunge halina makosa, kwa hio ibara ya 10, bunge halitakiwi kujua Mambo ya huo mkataba, ndio maana walikuwa wanabishana Kati ya mkataba au makubaliano tu, kumbe hawajui kitu, halafu ndio watetezi wa wananchi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…