Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM.
Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na viongozi wa CCM wenye vitambi wakigawiwa kadi. Pia kuna akinamama wanaosimama njiani kualika wapita njia kujiandikisha na kupewa kadi.
Je huu ni mradi wa DPW kujihakikishia usalama na ulaji mzuri bila misukosuko? Tafakari