https://www.youtube.com/watch?v=63HZWnHtVI4
Na Joseph Ngilisho | Arumeru
TAHARUKI imetanda katika Kata ya Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, baada ya kundi la watu zaidi ya 700 wanaodaiwa kutoka Kata ya Lengijave kuvamia maboma ya wakazi wa eneo hilo na kupora ng’ombe 26 kwa nguvu, hali...
Ukiangalia ile clipunya Anger, ukiangalia ile clipu ya Baba anae mtaka mwanae amzike maana mpaka sasa alizika kiatu tu,
Leo jioni nimekutana na nyingine ya Mwanamke aliyevalia kofia ya bwana ake analalama alimzika mumewe akiwa ameisha oza, na ana watoto wawili hawana msaada wowote,anaomba...
Baada ya tarehe 29/10/2026, kupita Kuna clip mbili zinasambaa kwa kasi, ya kwanza ni ya Bwana mmoja akilalamika mwanae kuuwa tarehe 29/10/2025,analalamika kutokupewa mwili wa mwanae ambaye alimkuta mochwari na baada ya siku kadhaa hakumkuta mwanae hata hapo mochwari maswali yake
U wapi mwili...
Chozi la mwanaume kwenye mapambano ya maisha ni kitu adimu sana kama maji yalivyo adimu kwenye jiwe. Lakini unapoliona chozi hilo likitiririka, ujue kuna jambo limegusa sehemu ya ndani kabisa ya moyo wake.
Mwanaume anaweza kupita siku nyingi akiwa na mawazo mazito, akakutana na changamoto...
Makwa, Gatundu North, Kaunti ya Kiambu, imeingia tena kwenye mjadala wa pombe haramu baada ya mwanaume mmoja kuripotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa mbaya.
Lakini safari hii, si taarifa ya vifo pekee inayovuta hisia. Ni video ya kina mama wakilia kwa uchungu baada ya taarifa...
Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi...
Leo kwenye runinga chaneli E wamemuonesha mwathirika wa agizo la mkuu wa mkoa mhe. Chalamila la kukamatwa na kuwekwa mahabusu familia yote ya Mushi wa Madale, akihojiwa huyo bibi mwenye umri kama wa Maria Nyerere au Fatuma Karume(marehemu) alisema alipofika Dar baada ya safari ndefu kutoka Moshi...
Wengi wa waliotekwa na wanaotekwa ni vijana wa umri tofauti walioowa na ambao hawajaoa.
Kwenye serikali ya awamu hii, vilio vinasikika kila kona ya Tanganyanyika kwasababu zisizoeleweka watu wanachuuuliwa kama mwewe anavyonyakua vifaranga vya kuku. Hakuna wakuwasemea wala kuwatetea. Imefika...
Novak Djokovic alishindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya kupoteza mchezo wa raundi ya kwanza ya US Open dhidi ya Muargentina Mariano Navone, katika kile kilichoonekana kuwa ishara nyingine kwamba umri unaanza kumfikia bingwa huyo mwenye miaka 39.
Mshindi huyo wa mataji 24 ya Grand Slam...
Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
Leo wakati tunapiga story na rafiki yangu ambaye urafiki wetu sasa unakaribia miaka 20 tuliongea mambo mengi tu mara baada ya kuhachana miaka 15 iliyopita
Sio kwamba hatuwasiliana naye kabsa hapana siku ya leo ilikuwa ni ya tofauti sana
Kitu ambacho siku zote wala hatujawai kuzungumza ni...
Hallow ndugu zangu nimeulizwa swali kwanini mtu akiwa katikati ya Ibada huwa anatoa machozi? Je anajuta, ni uchungu kwa anayoyapitia au ni imani sana?
Naomba nisaidieni majibu
Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa?
Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi?
Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle?
Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma?
Iko...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
Baada ya mchezo kumalizika...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
Ee Mungu wa Haki na Amani ya kweli. Tunakupigia magoti. Ninakupigia magoti. Ninasujudu mbele yako ewe Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Ewe mwenye mamlaka pekee ya kutoa na kutwaa uhai wa mwanadamu uliemuumba. Taifa letu limepitia maumivu makali yasiyoisha wala kusahaulika katika uso...
Mkutano wa Mgombea Urais wa Uganda kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) uliokuwa ukifanyika eneo la Bbaale nchini humo umeshindwa kumalizika vyema baada ya askari wa Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya wafuasi...
Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k
Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.