Mh rais waliopoteza ndugu ili uingie ikulu, wafidie tu Mama machozi yao yanaichafua ikulu mno mbinga!

Mh rais waliopoteza ndugu ili uingie ikulu, wafidie tu Mama machozi yao yanaichafua ikulu mno mbinga!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Ukiangalia ile clipunya Anger, ukiangalia ile clipu ya Baba anae mtaka mwanae amzike maana mpaka sasa alizika kiatu tu,
Leo jioni nimekutana na nyingine ya Mwanamke aliyevalia kofia ya bwana ake analalama alimzika mumewe akiwa ameisha oza, na ana watoto wawili hawana msaada wowote,anaomba wasomeshwe,
Ghafla nakutana na mzee Massawe hapa,, veta moshi karibu na kcmc namkumbuka mwanae clala aliyepigwa risasi na ndoa alikuwa mtoto pekee aliyekuwa amebakia maishaniwake.machozi anayo yatoa anasema anamwachia Mungu.

Mlio nae karibu mshauri ni afanye jambo hata kimnya kimya lasivyo haya machozi yatawafiksha pabaya.
 
Back
Top Bottom