Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa?
Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi?
Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle?
Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma?
Iko hivi...............................
Mwanaume hajaumbwa awe dhaifu, mwanaume anatambulika kama mwanajeshi,mwanamapinduzi,yaani haaminiki, haieleweki ni yupo tu muda wowote anaweza kukugeuka .
Ulishawahi kuona mwanaume akiiba kitu,akikamatwa Kwa asilimia 90 anakufa.but mwanamke ni ngumu atapigwa vibao kadhaa ataachiwa.
Ulishawahi kuomba kazi sehemu ukakutana na ugumu,Kwa wanawake huwa kuna unafuu,japo siyo wote.
Ulishawahi kukwama kwenye hali fulani,iwe pesa,nauli na mambo mengine mengi,hii Kwa jinsia KE ni tofauti kidogo kuna unafuu.
Kitu pekee unaweza kujivunia mwanaume ni HESHIMA,hili ni jambo la lazima Kwa mwanaume,lakini je ,hiyo heshima unaipataje?
HESHIMA unaitengeneza mwenyewe,Kwa kuwa na kiasi kwenye kila unalofanya.
1. Ukiomba kazi sehemu, ukiona hakuna dalili usibembeleze sana,Acha kuweka hisia ,hata ukilia watu hawatojali.
2. Mkeo akionesha dalili za kukuchoka usitumie nguvu sana,abaki moyoni mwako,utazidi kuumia na heshima yako itashuka.
3.Ukitongoza mwanamke akakukataa Kwa muda fulani,fanya mambo mengine,Linda HESHIMA yako ,wewe ni wa Thamani.
4.Heshimu wanaume wenzio,hata kama mtu Hana kitu ni masikini wa kutupwa,mpe heshima yake, unaheshimiwa zaidi.
5.Mwanaume mwenzio alikutangazia shida,msikilize,ukiweza tatua.
Wanaume huwa tunasaidiana.tangu utotoni tumeazimana,nguo,mageto na Vitu vingine vingi tu,hata mademu tulitongozeana🤣
6.Chunga Sana mienendo yako,magereza mengi wamejaa wanaume,japo pia usiogope kwenda JELA wewe ni mfungwa mtarajiwa,
Mitikasi yetu, mission zetu na utafutaji wetu,mara nyingi ni rahisi kukaa nyuma ya nondo anytime.
7.Usitumie hisia mwanaume kuwa emotional ni kosa kubwa limegharimu watu wengi mno, Dunia haina huruma Kwa mwanaume.
8.Ukipatwa na maumivu na masaibu yeyote,yatafakari Kwanza ,usiruhusu machozi yakutoke ni mwiko badala yake cheka na jipige kifua huo ndiyo uanaume. Acha nikupe mfano wangu.
Kuna Canter yangu moja niliinunua Kwa mtu, ikawa inapiga tripu za shamba,haswa kuleta vitu vya sokoni yaani Temeke stereo,Ila na hata Kariakoo na muda mwingine madereva wakizingua nilikuwa weekend napiga mishe mwenyewe,natafuta pesa za bia.
So siku ilibeba mbao za mtu,kama mia mbili hivi,na kila ubao Una Thamani ya Elfu 85, na kipindi hicho bado najitafuta si maisha kihivyo,na kiukweli gari yangu ilinipa Sana hizi pesa ndogo kwahiyo ilikuwa ni sehemu ya uchumi wa familia.
Basi sitasahau nilivyoikuta imeungua yote,yaani yote sijui hata ilikuwaje,na dereva alikimbia Hadi Leo sikumtafuta,my wife alilia mno Hadi kuzimia,lakini Mimi nilikuwa nacheka wakati huo mwenye mbao ananidai,anataka alipwe,yeye hajui kitu inaitwa bahati mbaya.
Cha ajabu nilitafuta bar nikaendelea kupata ulabu ,kwanini niwaze Dunia hii kaumbiwa mwanaume,hata mke wangu alinichukia huku akiwaza au nimehusika kuchoma gari,lakini haikuwa hivyo ni kwasababu naelewa nature of universe.
Kuna watu hunywa sumu,hujinyonga kwasababu tu ya kutumia hisia.
sema nini ,kuyashinda yote haya tafuta PESA, PESA, PESA.
Nimeishi kwenye hali zote,umasikini wa kutupwa hata kuwa na maisha fulani ,siyo kivile,ila nikiambiwa natakiwa kwenda Mexico sahizi nafika kwani Nina vigezo.
KUWA MWANAUME KAMILI ACHA UFALA.