Ukweli mchungu mwanaume, machozi yako na hisia zako havitathaminiwa popote

Dear Men,

Ni kweli kwamba jamii yetu huwa inajisahaulisha kwamba na nyie ni binadamu wenye moyo wa nyama na si chuma, na kwamba mnastahili kupendwa, kujaliwa, na kutiliwa maanani... lakini na nyie mna nafasi kubwa yakubadili/kabiliana na hili tatizo on a personal level.

Kuonewa huruma, ama kupata nafasi ya kudeka hutokea pale tu unapokua na mtu/watu wanaokujali. Mtu asiyekupenda hawezi kukujali, na mtu asiyekujali hawezi kukutilia maanani kwa namna yoyote ile!

Anzeni kwa kukataa kuwa surrounded by people who see you guys kama watu wasiokua na hisia wala maana yoyote huku uwepo wenu ukiwafaidisha kwa namna moja ama nyingine. Iwe katika familia, ama kwenye circle ya marafiki na jamaa wengine... amua kujipa umuhimu unaostahili ili wanaokuzunguka nao wanaume kusuka ama kunyoa.

Anza kujijali wewe mwenyewe.
Jiweke mbali na toxic people...
Jiweke mbali na takers wasiojua kutoa...
Jiweke mbali na watu wanaokutumia vibaya (uwepo wako, uwezo wako, ukarimu wako, your understanding etc.)...

Na zaidi... msibebe mizigo yote wenyewe mkaishia kufa kwa sonona jamani. Hamna maisha bila kaka zetu, wajomba, babaz, wapenzi na marafiki.

Nawapenda wanaume wote mnaojielewa , na nnajitahidi sana kuwajali wale nilio karibu nao kadri ya uwezo wangu.

Happy Men's Mental Health Month!🫂
& Happy Father's Day in advance!!💐

Love and hugs!! ❤️
 
Natamani nikuone, natamani uwe rafiki yangu , wewe ni mmoja wa watu wachache niliowahi kuwaelewa.

Naamini hili bandiko hujalileta Kwa bahati mbaya.kama upo tayari tufahamiane
 
Mama,hakikisha unampenda mwanao mpaka siku ya uhai wako au wake kuondoka.Huko nje wananyanyasika sana siku hizi,mwee😔
 
Baada ya kufika chuga, nikitoka Dodoma nilipo simamishwa chuo, nili ishi pale niki hustle wee, badae nikaona michosho sikua na pesa kabisa, yani life gumu nika fikiria Kwa Nini nisijichanganye zenji kwenda kuhustle, nikagundua sikua na akiba lakini kutokana na stress za hapa na pale sikupenda kuwa chuga tena nikajiambia na ambaa kibingwa.🦾💪💪

Nikpita jamii forum kupata ramani naondokaje na nafikaje zenji, baada ya kusoma ramani kutoka kwenye nyuzi za wana humu, nikajitosa kwenye kituo cha bus kufika naambiwa nauli 40 hadi50 kupiga hesabu zinagoma. Mhhh emu nitemeni Chali angu, nikajikataa👉👉

Nikachekecha kichwa,
Nikiwa ghetooo, jibu likajipa nasepa na treni kibingwa, sikulaza damu huyooo kituoni nikapata ratiba nikasubiri siku hiyo, ikafika masaaa, kibingwa pakufikia sijui kula nk mbele Kwa mbele, itafahamika, dah nisiwachoshe
Kwaiyo ulitaka kwenda zenji kwa treni dogo punguza bangi izo maskanka siyo mazuri
 
Akili Yako haijui kuchakata, nani alikwambia nilitaka kwenda zenji Kwa treni? Treni nilitaka inilete dar sasa we zenji inaingiaje hapo, shuleni ulienda kunywa uji tu eti?
 
Back
Top Bottom