Watanzania kilio chenu tayari kimesikika duniani na mbinguni, futeni machozi sasa, ila fanyeni yafuatayo

Rungwe88

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
353
Reaction score
722
Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k

Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika kabla, na baada ya uchaguzi (uchafuzi) mkuu wa mwaka huu.

Sasa watanzania msiendelee kulia bali futeni machozi sababu kilio chenu kimeshasikika duniani na mbinguni ila sasa mnatakiwa kufanya yafuatayo.

1. Muwe na umoja katika kupaza sauti ( maandamano makubwa ya amani) ili Mbingu na Dunia zipate kutenda kupitia maandamano hayo kumbukeni msemo wa (umoja ni nguvu)

2. Msikubali kugawanyika kwa kipindi hiki kwa misingi yeyote ile iwe kidini, kisiasa, kikabila n.k najua Kuna wasaliti watajitokeza kuwagawanya ila pambaneni nao kwa kila njia yani msiruhusu kugawanyika.
Nyinyi watu wa CCM msijione mpo salama kwa sababu mnapata mabaki ya viposho kutoka kwa hao mafisadi, nataka kuwakumbusha tu nanyi hampo salama kwa aina ya watu mliowapa dhamana ya kuongoza chama chenu sasa.

3. Endeleeni kupaza sauti bila kuchoka kwa kila namna inayowezekana ndani na nje ya nchi.
Hao watawala viziwi wanasubiri muendelee kusahau taratibu ili jambo hilo lipite, Mimi nawakumbusha mkiacha kupaza sauti ndio mwanzo wa mateso yasielezeka mtakayopata Sasa na miaka ijayo.
Kumbukeni hao watawala wenu hawajasahau jadi yao sababu utekaji unaendelea kwa kasi sasa, propaganda za kuhadaa wananchi zinaendelea kwa kasi ( Jana msigwa na press yake ya kitoto na kihuni)

4. Watanzania mliopo nje endeleeni kupaza sauti kila siku bila kuchoka sauti na kilio Cha watanzania kiweze kusikika hadi hatua za kuondoa huu utawala zitakapochukuliwa.
a. Mliopo Jijini New York nchini Marekani nendeni ofisi za umoja wa Mataifa-UN
b. Mliopo jijini Washington Marekani nendeni Ikulu ya White House, pia nendeni kwenye bunge la Congress bila kuchoka.
Pia mliopo Marekani nendeni ofisi za vyombo vya habari vilivyopo Marekani kama CNN, ABC, NBC, Fox News n.k
c. Mliopo Nchini Ubelgiji nendeni ofisi za makao makuu ya umoja wa ulaya EU.
d. Mliopo ujerumani nendeni katika bunge la ujerumani, ofisi za DW n.k
e. Mliopo uingereza hivyo hivyo na nchi zingine zote

5. Mliopo Tanzania endeleeni kupasa sauti kwenye mitandao ya kijamii kama Jamii Forum, TikTok, Instagram, YouTube, Facebook n.k ila hakikisheni mnafanya bila kuchoka kwa tahadhari sababu kadiri mnavyopaza sauti ndio anguko la hao watawala dhalimu lipo.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania na uikomboe na huu utawala dhalimu unaotesa watu wako, na wote tuseme
( Na iwe Hivyo).
 
Kabisa kwa mtu anayeogopa aanze kuhamisha familia yake kuipeleka kijijini. Hiyo tarehe 9 tutaingia bila woga. Na safari hii polisi wakitugusa tu risasi na wai wataingia kuzika. Tuna location zote za familia zao. Ni bora polisi wawaambie kabisa viongozi walioko madarakani kwa kupora uchaguzi hawatakuwa tayari kushoot raia wasio na silaha watakaokuwa wakiandamana bila kufanya fujo.
 
Hakika
 
Dec 9 .

Toeni Pesa zenu Bank kabla ya tarehe 5 Dec .

Kwa Waandamanaji wenye Familia yaan watoto , Wanunulieni Watoto vyakula mjaze Ndani.

Maandamano yetu ni yakudumu .
Ila msije tena kulia huku baada ya tarehe 9 dec ..sijui free polepole
 
Safari hii tutalia wote, na mtaonyesha alipo Polepole na wengine mliowateka. Tuko tayari kufa ili nyie watekaji muishi kwa kazi halali, lakini fundisho litapatikana. Locations zote za nyumba za polisi tunaendelea kuzikusanya. Wakati tunazika hapa, na polisi wataamua wakazike familia zao, ama waendelee kuua kwanza kumlinda aliyepora uchaguzi ama la.
 
Tunawasubiri ..kikubwa uzima..sisi tunanoa vizuri silaha zetu
 
Kuna siku hiyo silaha inayokudanganya utaiona nzito kuliko jabali utashindwa kuibeba na haitokusaidia
 
Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k

Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika kabla, na baada ya uchaguzi (uchafuzi) mkuu wa mwaka huu.

Sasa watanzania msiendelee kulia bali futeni machozi sababu kilio chenu kimeshasikika duniani na mbinguni ila sasa mnatakiwa kufanya yafuatayo.

1. Muwe na umoja katika kupaza sauti ( maandamano makubwa ya amani) ili Mbingu na Dunia zipate kutenda kupitia maandamano hayo kumbukeni msemo wa (umoja ni nguvu)

2. Msikubali kugawanyika kwa kipindi hiki kwa misingi yeyote ile iwe kidini, kisiasa, kikabila n.k najua Kuna wasaliti watajitokeza kuwagawanya ila pambaneni nao kwa kila njia yani msiruhusu kugawanyika.
Nyinyi watu wa CCM msijione mpo salama kwa sababu mnapata mabaki ya viposho kutoka kwa hao mafisadi, nataka kuwakumbusha tu nanyi hampo salama kwa aina ya watu mliowapa dhamana ya kuongoza chama chenu sasa.

3. Endeleeni kupaza sauti bila kuchoka kwa kila namna inayowezekana ndani na nje ya nchi.
Hao watawala viziwi wanasubiri muendelee kusahau taratibu ili jambo hilo lipite, Mimi nawakumbusha mkiacha kupaza sauti ndio mwanzo wa mateso yasielezeka mtakayopata Sasa na miaka ijayo.
Kumbukeni hao watawala wenu hawajasahau jadi yao sababu utekaji unaendelea kwa kasi sasa, propaganda za kuhadaa wananchi zinaendelea kwa kasi ( Jana msigwa na press yake ya kitoto na kihuni)

4. Watanzania mliopo nje endeleeni kupaza sauti kila siku bila kuchoka sauti na kilio Cha watanzania kiweze kusikika hadi hatua za kuondoa huu utawala zitakapochukuliwa.
a. Mliopo Jijini New York nchini Marekani nendeni ofisi za umoja wa Mataifa-UN
b. Mliopo jijini Washington Marekani nendeni Ikulu ya White House, pia nendeni kwenye bunge la Congress bila kuchoka.
Pia mliopo Marekani nendeni ofisi za vyombo vya habari vilivyopo Marekani kama CNN, ABC, NBC, Fox News n.k
c. Mliopo Nchini Ubelgiji nendeni ofisi za makao makuu ya umoja wa ulaya EU.
d. Mliopo ujerumani nendeni katika bunge la ujerumani, ofisi za DW n.k
e. Mliopo uingereza hivyo hivyo na nchi zingine zote

5. Mliopo Tanzania endeleeni kupasa sauti kwenye mitandao ya kijamii kama Jamii Forum, TikTok, Instagram, YouTube, Facebook n.k ila hakikisheni mnafanya bila kuchoka kwa tahadhari sababu kadiri mnavyopaza sauti ndio anguko la hao watawala dhalimu lipo.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania na uikomboe na huu utawala dhalimu unaotesa watu wako, na wote tuseme
( Na iwe Hivyo).
Amen
 
D9 tunahitaji turnover, tujikomboe, tumedhalilika na kuteswa vya kutoshwa, tunahiji ukombozi. Kwani tutalalamika hadi lini? Twendeni tukachukue nchi yetu.
 
Safari hii tutalia wote, na mtaonyesha alipo Polepole na wengine mliowateka. Tuko tayari kufa ili nyie watekaji muishi kwa kazi halali, lakini fundisho litapatikana. Locations zote za nyumba za polisi tunaendelea kuzikusanya. Wakati tunazika hapa, na polisi wataamua wakazike familia zao, ama waendelee kuua kwanza kumlinda aliyepora uchaguzi ama la.
Siku ya hayo maandamano yenu hatuitaki kuona nyuzi zenu hapa maana tutajua mpo ndani kwenye vungu za vitanda mnachati badala ya barabarani
 
Back
Top Bottom