Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Kwani barabarani tunaenda na desktop computer? Boss mbona uko dunia ya zamani sana?Siku ya hayo maandamano yenu hatuitaki kuona nyuzi zenu hapa maana tutajua mpo ndani kwenye vungu za vitanda mnachati badala ya barabarani