CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

MNAKIMBIA HOJA. NA NI KWA SABABU HAMNA HOJA KATIKA HILI LA CATHERINE. NA KWA UHAKIKA NI KWAMBA NYIE NDIO HAMNAZO!
 
Daaaa siasa gani za Arusha?? Hiyo Catherine kwani ni mbunge wa jimbo??? Tulieni, mnaanza kuamsha maswala ambayo yashaanza kutulia
TUNAPOSEMA HAMNAZO TUNAMAANISHA MNAFIKRIA KWENYE ENEO DOGO SANA, KWA KUWA HUNA UELEWA BADO HUONI KAMA CATHERINE YUKO KATIKATI YA SIASA ZA CCM ZA ARUSHA. KAMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA HUJUI BASI HAITASHANGAZA KUENDELEA KUMKASHFU CATHERINE WAKATI HUNA HOJA ZA KUMKASHIFU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…