Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hapana. Niwe mchepuko wako ndo haja yangu
Unataka mishale unayomtupia Kathy itupwe kwako pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Niwe mchepuko wako ndo haja yangu
MNAKIMBIA HOJA. NA NI KWA SABABU HAMNA HOJA KATIKA HILI LA CATHERINE. NA KWA UHAKIKA NI KWAMBA NYIE NDIO HAMNAZO![emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji13][emoji13][emoji13]unaona WATU ni hamnazooo. YAni Mimi ningekua nyinyi ningetulia kabisa nijitafakari. Hivi mnavyoleta hoja mfu zisizo na mashiko ndo mnachokoza WATU waanze kuwafukulia mambo ambayo yashaanza kutulia. Tulieni
TUNAPOSEMA HAMNAZO TUNAMAANISHA MNAFIKRIA KWENYE ENEO DOGO SANA, KWA KUWA HUNA UELEWA BADO HUONI KAMA CATHERINE YUKO KATIKATI YA SIASA ZA CCM ZA ARUSHA. KAMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA HUJUI BASI HAITASHANGAZA KUENDELEA KUMKASHFU CATHERINE WAKATI HUNA HOJA ZA KUMKASHIFU!Daaaa siasa gani za Arusha?? Hiyo Catherine kwani ni mbunge wa jimbo??? Tulieni, mnaanza kuamsha maswala ambayo yashaanza kutulia
Sasa swali lako ulitaka nikujibuje? Kumbe unaelewa vyema ila unataka uchokozi tuUnataka mishale unayomtupia Kathy itupwe kwako pia?