CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Si kweli.
Ukweli ni upi....??

Watu wawili wanaoishi isivyo uhalali machoni mwa Mungu ni ukahaba.......wingi au uchache wa siku waliyokaa hakulalishi ukahaba huo.........

Siku ya msiba inajieleza kuwa kahaba amevamia msiba wa mteja wake........
 
Polygamy sawa ni sehem ya utamaduni, lakini una utaratibu wake.
 

Hujasema ukweli katika sentensi ya kwanza. Huenda umesikia tu habari hizi baada ya huu msiba. Marehemu alitengana na mkewe mwaka 2019. Ambacho sio sahihi kwa Catherine ilikuwa ni kusababisha zogo na kuja na wapambe sijui mabaunsa. Tumekuwa kwenye misiba, madanga wa watu wanakuja na wanakuwa watulivu. Catherine aliingilia shughuli na hata akaondoka kanla ya shughuli kuisha - huo sio utaratibu. Alikuwa na haki ya kuwepo msibani. Hakuitumia haki yake vizuri kwa mwanamke ambaye katika kumgombea marehemu amewekwa ndani na kufunguliwa kesi ya udhalilishaji. Huenda ingekuwa busara akajitenga kwenda makaburini!!
 
Ila mkumbuke huyu mtu akiwa na akili zake timamu aliiacha nyumba yake na kwenda kuishi kwa mbunge wala hakuwa hawara na mke usikute hakufanya juhudi hata za kuomba msamaha yaishe kiburi juu na kuona jamaa kafanya makosa ya uhaini alafu leo kafa anataka haki ya mke kwa kipande cha karatasi .(sheria zinapitishwa wabunge wakiwa wamelala by spika)
 
Malaya akaweke shada kaburini? Kahaba? Hawara? Apewe nafasi? Kmmk kweli yulee kahaba. Ndoa ni moja tu kanisa katoliki. Na wamemchekea kweli. Alitakiwa kulishwa mitama. Kulala na mume wa mtu ndo heshima?
Mwanaume hatosheki na ndio maana sisi wenye imani zingine tunaruhusu Mtu kuongeza....na hata baadhi ya mila zetu zinaruhusu.

Huyo Dada ahukumiwe kwa kusumbua amani msibani tu, lakini kuwa Mke/hawara/Mchumba wa Mtu tutamuonea tu bure ili hali Mhusika Mkuu ni huyo Mwanaume....ukimuita Kahaba vipi kuhusu Mwanaume?....kumlaani Cath ni kumlaani Mwanaume pia....au la basi tuwalaani wote.

 
Unapokuwa kiongozi wa umma huna maisha yako binafsi, huo uhuru unaondoka automatic. Kila unachokifanya kinawakilisha uongozi wako, huwezi kuvuruga taswira ya kioungozi ukasema ni maisha yako binafsi.

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Haifuti jina la kahaba, hawara, malaya.

Naomba utuambie mbunge amefiwa na nani yake..

Halaf kumbe unasemea imani zingine. Basi pia unatambua kuna imani nyingine mkuu. Ndo maana wameiacha hivyo hao wanne wanawatoshaga? Si bado mnapiga matukio pia? Ni kwenye maandiko gani uliona walimwita mwanaume majina mabaya kwa uzinzi kama kahaba, malaya ama hawara? Nisaidie. Ama mzinzi kwa kumspecify kabisa wewe juma mzinzi.

La kuongezea. Aziza na mbunge walikua mabestie. Wa kutupwa. Leo hii yeye ndo wa kuwa na mume wa shoga yake tena wa ndoa? Bora ingekua madanga tu. Na unajuaje kama si Aziza ni chanzo cha mgogoro wa ndoa? Nani hajui hawa madada qa mjini walivyo na tamaa za mali na wivu?

Ila mwisho wa siku Mungu hujidhihirisha penye nia ovu. Akamfyeka marehemu. Watoto wamekosa baba na mke amepoteza mume. Katarina amepoteza nn? Katarina is too lucky si uchaggani amefanya haya jana. Angefurahiaaaaaa....

Kupeleka vurugu kwenye msiba pia ambao si mwanafamilia unazidi kumshusha. Sasa aendelee kujikuna wamuwashe.
 
Amekosea sana kudate na mume wa mtu wakati anajua ana mke na watoto na ndoa haikuvunjwa bado ni mke halali kabisa. Na hata huko mahakamani hakuwahi kudai talaka. Dada wa mwendazake kahojiwa kasema.
 
Dada sio kila anayesimama upande usiosimama wewe maana yake yupo upande wa adui yako.

Dah!!
 
Kama unapata hasira kiasi cha kutaka kuua mtu kwa sababu tu mtu kakushauri usichokipenda basi una matatizo. Ndio maana nilisema mkiwapa watu kiki na mambo yakaingia kwenye mitandao, wote mtapata maumivu.

Naona niachie hapo.

Amandla....
Una hekima sana.
 
Ttz watu wanafki sana
Wangapi hapa hawana michepuko/mahawara/nyumba ndogo?.
 
Kafiwa na hawarayake
Mbona km hili mnalifanya geni?

lawama hizi apewe marehemu kuwa na mke na hawara
Cat mtalaumu bure tu
 

Watanzania mnapenda udaku sana . Aliyefariki ni rafiki yangu anaitwa kuzula Madoda pamoja na kusoma naye Ilboru namjua toka tukiwa Primary Arusha. Huyu hakuwa mchumba ni mke wake na walikuwa wanakaa pamoja. Aliachana na mke wake wa zamani na kumuoa huyu mbunge na walikuwa wana kaa pamoja Dodoma sasa kufariki utamkatazaje mtu kama huyu kumwaga mpendwa wake! . Kuzula hakuamisha mali maana alikuwa na watoto lakini hakuna sababu ya kufungiwa gate kwa huyu mbunge kwasababu na maamuzi ya Kuzula mwenyewe. Alikuwa mtu mzima hivyo wajue maamuzi ni ya kuzula kumuoa huyu mbunge sasa Watanzania wanapenda drama kama vile alikuwa mchepuko!
Tumwache marehemu apumzike mahali pema peponi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti rafiki yake. Hebu tuambie hiyo ndoa ilifungiwa wapi na lini. Ujue unajidhalilisha. Rafiki gani usiyejua hata ABCD
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti rafiki yake. Hebu tuambie hiyo ndoa ilifungiwa wapi na lini. Ujue unajidhalilisha. Rafiki gani usiyejua hata ABCD

Sawa wewe amini simjui maana ukweli haufurahishi wambea na wapenda drama amini unavyo amini. Kuzula alikuwa anakaa wapi wakati amefariki. Tumetoa mamilioni ya pesa tumechangisha zaidi watu hamsini na familia inatufahamu sisi marafiki wa utotoni namjua toka 1987 wewe endelea na movie yako
 

Hayo ni maisha yake binafsi ambayo chama.hakiruhisiwi kuyaingilia..

kama.kinatka kuchukulia hatua kwa kukiaibisha, wapo kibao kabla yake wanaotakiwa kuchukuliwa hatua lakn chama kimenyuti

vipi kuhusi uporaji na unyang'anyi wa sabaya, mako and co, mbona chama kipo kimya? mbona chama hakijitengi na wao?

mabinti na wanawake ni mama zetu, pengine anahitaji atulie na mmoja, lakn wanadanganywa matokeo yake tunawajaj malaya ama hawajitambui. kumchukulia hatua ni makosa, maana kujitetea kwake ni lazima ataje undani wao, ambayo naona ni privacy.

yapo mambo ya msingi ya chama cha mapinduzi.kujitenga nayo, kama wizi, utekaji, uiwaji, wizi n.k lakn sio mambo binafsi.ya mtu. maana kama ilikuwa ni aibu, basi ni aibu ya magige mwenyewe sio chama..

cc.chenge, sabaya, mako.and co
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…