CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu


ishu ni moja, hujui marehm na magige makubaliano yao wakiwa wawili, hivyo hutakiwi kumuhukumu na simply kwakua ni mbunge na alifanya.aliyofanya kwasababu yatittle yake, maana naye ni binadam

cha kuuliza kwann wafunge mageti, na msibani milango ipo wazi kwa kila mtu kujongea..
kufunga mageti ni dalili kuwa walijiandaa mbunge asiende
 
Hata ungekua umebeba mimba yake[emoji23][emoji23][emoji23] u are just no body. Eti amefunga ndoa. Ila jf jamani. Mkachangisha mamilion. Usitake niseme maneno mabaya saa hizi. Kwahiyo mkafunga ndoa juu ya ndoa. Katarina akaolewa kama wife namba 2. Haya mulifungia wapi ndoa[emoji23][emoji23] bomani, kanisan ama msikitini? Unamjuaje mwanaume mwenzako kwanza. Na kama ni ke unamjuaje mume wa mtu wewe. Aziza anawakomesha. Ngojea huyo malaya wenu afutwe uanachama kwanza halaf tuendelee na mengine.
 
Kuhusu sabaha naona katiwa mbaroni huko tayari. Hilo halimpi katarina ubalali wowote wa alilolifanya. Yeye ni malaya kama malaya wengine tu. Kwahiyo kwa hilo we kausha tu.
 
Mkuu, msiba siyo ishu ya public. Ni ishu ya kifamilia. Hebu amka usingizini. Hata wangeamua kumzika babu, bibj, mama na wajukuu. Huna haki ya kuhoji. Kama nani. Wao ndo wenye maamuzi na mtu wao. Sijui kwann hamtaki hata kusoma soma viti. Si lazima uwe wakili ndo ujie haya. Ni haki zako za msingi. Na ana bahati aziza mstaarabu sana. Ningemnyanyua na header. Sema afya yake sasa huyo katatina ndo tatizo[emoji23]
 
Tumeshatangaziwa kwamba CCM itakuita na kukuhoji kwa nini umevamia msiba.

Usijihangaishe na majibu marefu wakikuletea barua ya kujieleza.

Jibu ni fupi sana.

Wajibu kwamba tangu umezaliwa hujawahi kuvamia msiba usiokuhusu.

Sasa kama wao wanaujua msiba usiokuhusu na ukauvamia wakitajie na walete ushahidi.

Kesi itaishia hapo

CORRECTIONS:
Headline iwe Catherine Magige na siyo Catherine Ruge.

Contents zingine zinabaki hivyohivyo.

 
Ila ndg wa mume nao wabaya sana! ukiona Mchepuko una nguvu na jeuri basi ujuwe ndg wa Mume nao wanamtambuwa Kama mke wa ndg yao!!
Jeuri ya Catherine Magige ilikuwa kwenye pesa na dola(chama tawala), ila hakuna ndugu wa mume anayeweza kufurahia uhuni wa Magige, maana itazaa aibu kwa familia.

Hivi unajua huyo marehemu amezikwa kikristo?
Hivi unajua kama Catherine Magige angetambulika kama mke wa pili wa marehemu kanisa lisinge husika katika mazishi yake?
Hivi unajua marehemu ameacha watoto na mali walizochuma na mke halali, sasa unajua athari gani zitaweza kutokea katika mirathi ikiwa Catherine Magige ataingizwa kwenye hii familia sasa?
 
Kwani hujawahi kuskia familia ikitka privacy wakati wa maziko??
 
Nawashangaa Sana, wanaforce mdiba ni haki, unaforce vipi kujihusisha kwenye mambo ya familia za watu?? Mdiba ni jambo la kifamilia. Hawana hoja kabisa
 
Naona umepiga cha Njombe ndiyo ukainga JF
 
Amekwisha likoroga vya kutosha; kama ana akili hatafuata ushauri wako wa kidangaji!!! Mbunge ni lazima awe kioo kwa jamii, hivyo kujitoa ufahamu na kufanya mambo ya kukiaibisha chama kilichompa dhamana ya kukiwakilisha bungeni haikubaliki kimaadili!!!
 
Serikali nijuavyo ina ukubali "mfumo zinaa" maana mahawara wakikiwa pamoja miezi kadhaa (sina uhakika )wanaheesabika ni wake wa ndoa Kiserikali.

Kama ndio hivyo, kwanini na yeye si mke Kiserikali? CCM si ndio yenye dhamana ya kuendesha serikali, sasa mnapatwa mchechetu wa nini akinsa Shaka?


Kubalini tu matokeo au ufuteni mfumo zinaa uliopo nchini.
 
Kilchompata Catherine kinaweza mpata mwanamke yeyote yule, hata Mimi nilianzisha mahusiano na mwanaume aliniambia Hana mke walishaachana. Na akawa haishi nae. Nikiwa na mimba ya miezi Saba mke alikuja kwangu na vyeti vya ndoa,,, mke ni mkatoliki, mume mkatoliki na Mimi mkatoliki.
Haraka Sana nilivunja hayo mahusiano simply because
1. nilijua kwa Sheria ya dini yetu ni ngumu Mimi KUISHI kwa amani.
2. Nilifikiria mistakabal wa watoto na familia ya yule baba.
3. Niliona ujinga Mimi KUISHI na mwanaume ambae ndoa yake Bado haijavunjika na mkewe Bado anampenda, na nliwaza mbali hivi akifa ntakua mgeni wa Nani mimi??? Mpaka Leo yule mwanamke tunaheshimiana na anamtambua mwanangu na wanae wananiheshimu na nilimpata mwanaume wangu ambae sio mume wa MTU na maisha yanasonga.

Sasa najiuliza kama Mimi raiya wa kawaida niliweza kufanya hivi, mbunge kwanini alishindwa kujitambua??? Na mbaya zaidi yeye ni mbunge wa Wanawake,,, yeye analo JUKUMU la KUTETEA WANAWAKE na maslahi yao,,, sasa amefanya nini??? Na sio kwamba hajijui, Kuna video inasambaa anaomba Mungu ili awe official Mrs madodo, anakua kabisa yeye sio official wife, why alete taharuki misibani??
Kibaya zaidi kinachonikera Mimi ni wale viongozi wa Wanawake wakiongozwa na mwenyekiti walishindwa kutumia busara na hekima na kufanya mambo kistaarabu?? Je waliwawaza wale watoto wadogo wa marehemu pale msibani??? JASMIN BACHU TOKA HADHARAN UTUTAKE RADHI WANAWAKE WA ARUSHA.
Vipi KUHUSU ile ibada??? Kwa nini hawakuheshimu?? Na mbunge kama anampenda marehemu na alitaka azikwe kwa heshima anafahami SHERIA za kanisa katoliki?? Hawaziki MTU MWENYE mitala, YAni they are very strict kwenye hili, sasa anajuaje waliogopa kumshirikisha Ili marehem azikwe kwa heshima???
Kamwe usiskilize blabla za mwanaume eti oo nimeachana na mke wangu kisa malaya na WEWE unashkilia Hicho unajiaminisha kwamba HUYU wangu.
CATHERINE NI MBUNGE MTUNGA SHERIA, WAKATI MWINGINE ANAWAJIBIKA KUSIMAMIA SHERIA. KUISHI NA MUME WA MTU TENA MWENYE NDOA YA KIKATOLIKI AMBAYO HAIVUNJIKA HAKUKUFANYI UWE MKE KAMILI NA UWE NA HAKI YA KUMZIKA MUME AKIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…