CCM kumnadi Mbowe Dodoma kiaina, kuna nini nyuma ya pazia?

CCM kumnadi Mbowe Dodoma kiaina, kuna nini nyuma ya pazia?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani?

Ghgws-PWgAA4Adu.jpeg


Kwamba mdahalo kala kona.

Hali ya uwanja haitamaniki.

Kwamba kipi kifanyike?

"Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
 
20250112_203002.jpg
Ndani ya ccm kuna vita watu wa mama wanaona mbowe wanaweza kwenda nae sawa, wasio mtaka mama ndiyo wanao msapoti Lisu. Mashabiki wa Chadema wanacheza ngoma isiyo yao, Jiulize tu Lisu hakuwa na mpango wa kugombea uenyekiti imekuwaje ghafla kabadilika? Msisahau Lema ni kijana wa mzee wa msoga. Shida yote hii ni mama hatakiwi
 
Kwangu mimi sina shida sana na PICHA kwa kuwa ni kweli alifika IKULU kuonana na Mh Rais..suala ni atueleze ni nini hicho/hivyo ambavyo atafanya miaka hii mitano(5) ambayo hakuvifanya kwenye miaka 21 iliyopita
Tangu lini CCM wakampenda mpinzani kiasi hicho wakaweka picha yake bango loteee hivyo. CCM wajanja sana yani wanachochea ili watu wazidi kuparuana
 
Na kwamba kabla bango halijaandikwa walitafakari juu ya waliotekwa na hawajulikani waliko?

Haijulikani mwamba anayafurahia mabango hayo au vipi.

Uswahiba uliopitiliza.

Uswahiba wenye mashaka!
 
Back
Top Bottom