- Thread starter
- #41
Tatizo ni kuwa Lissu akipita ni shida kwa CCM.
Kwamba Lissu hanunuliki. Nao wangependa wenye kununulika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kuwa Lissu akipita ni shida kwa CCM.
na wasira kasema ataendeleza maridhiano ya 4r, mbowe ndiye anayetakiwa na ccm aendeleze maridhiano. Labda ccm inaona lissu hajui maridhiano hawamtakiTatizo ni kuwa Lissu akipita ni shida kwa CCM.
Ndio maana wamemleta Wassira awe makamu... apambane na wenje kama wenje akishinda. CDM itapooza sana , sinui kama wenje atamumudu wasira kwenye jukwaa. Ni Tundu pekee atamumudu maana tayari alisha mshinda kwenye kesi ya Bulaya...Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani?
View attachment 3204678
Kwamba mdahalo kala kona.
Hali ya uwanja haitamaniki.
Kwamba kipi kifanyike?
"Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"