B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 18, 2025 Thread starter #41 kibobori mahoro said: Tatizo ni kuwa Lissu akipita ni shida kwa CCM. Click to expand... Kwamba Lissu hanunuliki. Nao wangependa wenye kununulika!
kibobori mahoro said: Tatizo ni kuwa Lissu akipita ni shida kwa CCM. Click to expand... Kwamba Lissu hanunuliki. Nao wangependa wenye kununulika!
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 18, 2025 #42 kibobori mahoro said: Tatizo ni kuwa Lissu akipita ni shida kwa CCM. Click to expand... na wasira kasema ataendeleza maridhiano ya 4r, mbowe ndiye anayetakiwa na ccm aendeleze maridhiano. Labda ccm inaona lissu hajui maridhiano hawamtaki
kibobori mahoro said: Tatizo ni kuwa Lissu akipita ni shida kwa CCM. Click to expand... na wasira kasema ataendeleza maridhiano ya 4r, mbowe ndiye anayetakiwa na ccm aendeleze maridhiano. Labda ccm inaona lissu hajui maridhiano hawamtaki
S.M.P2503 JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 2,421 Reaction score 4,344 Jan 18, 2025 #43 brazaj said: Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani? View attachment 3204678 Kwamba mdahalo kala kona. Hali ya uwanja haitamaniki. Kwamba kipi kifanyike? "Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!" Click to expand... Ndio maana wamemleta Wassira awe makamu... apambane na wenje kama wenje akishinda. CDM itapooza sana , sinui kama wenje atamumudu wasira kwenye jukwaa. Ni Tundu pekee atamumudu maana tayari alisha mshinda kwenye kesi ya Bulaya...
brazaj said: Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani? View attachment 3204678 Kwamba mdahalo kala kona. Hali ya uwanja haitamaniki. Kwamba kipi kifanyike? "Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!" Click to expand... Ndio maana wamemleta Wassira awe makamu... apambane na wenje kama wenje akishinda. CDM itapooza sana , sinui kama wenje atamumudu wasira kwenye jukwaa. Ni Tundu pekee atamumudu maana tayari alisha mshinda kwenye kesi ya Bulaya...