Hapa mpaka tuchapane kwanza ndio heshima itakuwepo, hii ngonjera ya amani na utulivu ndio inasababisha wanaume wenye mimba kama Tambwe Hiza badala ya kwenda kujifunguwa anakuja kuleta porojo, i wanna kill light now.
kama wanachuo wasingezomea ningewalaumu sana...dk za mwanzo tu alizoongea tambwe hiza zinatosha kujua alienda pale kupoteza muda,bora walivyomfukuza kupisha people with serious minds waongee..
Unamaanisha nini kusema serious mkuu?.vigezo vp umetumia kujua huyo hakua serious.
Kwa hiyo tunatunga katiba ajili ya maserious na hao wengine.
Main point is just wha..wha...what do you mean by serious?@mshindo
nimeshangazwa sana na taarifa za kuahirishwa kwa mkutano wa kukusanya maoni kuhusu muswada wa Katiba mpya pale Karimjee. Kwamba mkutano ule umeahirishwa (ITV news, saa 2 usiku) baada ya mtu asiyekubalika CCM wala upinzani, Tambwe Hiza kuchafua hali ya hewa ukumbini.
Lakini najiuliza: katika wakati ambao taifa linashughulikia suala muhimu kama la Katiba ya nchi, CCM inakosa mtu muhimu kweli wa kumtuma kama muwakilishi hata wamteue mtu kama Tambwe Hiza?
Hivi kweli CCM wako serious? Mtu wa propaganda anaweza vipi kuwa muwakilishi wa chama tawala kwenye ishu sensitive kama Katiba ya nchi? Where is CCM taking us? Ama mimi sielewi maana ya propaganda?
Tuwafanye nini hawa CCM?
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni ni aibu kwa wajinga wale wa udsm pale karim jey kutokumpa nafasi tambwe ya kuongea. Ni ujinga mkubwa wa hawa vilaza wa udsm. Kwa vile wengine ninao pamoja nitajaribu kuwaelimisha kua hata tambwe anahaki ya kutoa maoni si dr slaa tu.
Akiongea lipumba wekeni fujo basi muone tutakavo watafuna kama keki. Kudadeki ccm inawalea sio sisi hatutowaacha wehu wakingia ktk anga zetu.