amirmojaElimu
Member
- Nov 23, 2024
- 9
- 6
Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi.
Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si hivyo tu Bali chama chetu kimekuwa ni Chama Chenye Mali nyingi na zenye Kuonesha Uwepo wa Utajiri wake.
Tujiulize chama na viongozi wanaomba nini kwetu kuwachangia ???
Ikiwa sisi wanachama viongozi wetu wanatusifu tunalipa ada zetu za Uanachama Kwa Wakati!!!?
Inakuwaje chama linahitaji msaada wa Moja Kwa Moja kwetu kuendesha Uchaguzi ikiwa takwimu nyingi zinasema Uwepo wa umiliki Mkubwa wa Mali Kwa chama chetu???
Je nani amelengwa chama kuchangia???
Au tunatafuta Mdhamini?? Kwa milango wa nyuma
Ikiwa ata dhamini tutanufaika na nini??
Na yeye atanufaika na nini???
Hapo majuzi tulikejeli baadhi ya Jitihada za vyama vya Upinzani namna ambavyo wanajikongoja kuendesha hali zao za kiuchumi.!!!
Lakini muda huu tupo busy sana kutaka kuwakamuaa watanzania hawa.
Hii ni aibu kubwa sana chama Tajiri kutaka kukamua wanachama na wahisani wake.
Tujiulize mapato yetu na Matumizi yanaweza tupa nguvu ya kulinda Ufisadi???
Kama tunashindwa simamia mapato yetu wenyewe basi tuachane na hili la kuchangisha na kuchangishwa Kwa kisingizio cha harambee.