CCM kuondoka Madarakani siku zake inahesabika

Waswahili wanasema maneno huumba
 
#BreakNews

Marekani imeitaka Tanzania Kumuachia Huru Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini CHADEMA MH. Freeman Mbowe na Kuheshimu Uhuru wa Vyama vya Upinzani.

Balozi wa Marekani Nchini Dr. Donald Wright amesema Tanzania itawekewa Vikwazo kama itaendelea kuvunja Demokrasia na kukandamiza Vyama vya Upinzani.
 
Mnataka ije katiba mpya yenye uwezo wa kuondoa kinga ya kutoshtakiwa kwa Ayubu na Tulia!
 
Muda unaita kwa sauti kubwa. Ninafikiri Jeshi lijiandae kuchukua nchi wasimamie serikali ya mpito ya kuandaa katiba mpya kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
 
CCM haiwezi kuondoka bila machafuko.Kwa sanduku la kura si rahisi kwani wanajua namna ya kutumia mifumo na vyombo
 
Chadema walipewa nafasi ya kufanya kongomano dar es salaam,wakamualika mdude kumtukana RAIS wa nchi hii,hawana jema ni kudeal nao kwa style hii
 
CCM ndio inakufa hivyo.

Inakufaje, wapinzan wenyewe ndiyo hawa kina mbowe,miaka 17 yupo kwenye chama kama mwenyekiti hatak kuondoka,na anasema chama chake ni Cha demokrasia,utampaje nchi mtu kama huyo?ccm imechoka lkn kwa upinzan gan ww kuongoza nchi hii??
 
Maandiko yako ni maxuri japo ukianzia mwaka 2025 ndo itakuwa imebakiza miaka 10,Believe me inaanguka 2035 na kama utaona jimbo la busega limeenda chadema 2025 amini haya nikwambiayo.
Shida siyo tz tu bali dunia yote iwe 1 na mtawala 1baada ya hapo.
 
Ilianza 95 mlisema hivi hivi
Mkaja 2000 mkasema hivi
Mka hamia 2005 mkasema tena
Mkaja tena 2010 mka rudia
Mka hamia 2015 mkamwagika tena
Ikafika 2020 mkasema
Sasa mme hamia 2025
Shida Watanzania hawa waamini na huenda ikawa wamewachoka ccm
 
CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa maneno..lazima machafuko yatokee na watu kwa maelfu wafe au "wakubwa" waje kuchukua nchi kinguvu au kimkakati Kama Zimbabwe...
 
CCM wanajua katiba mpya ikija ndo mwisho wao. Na huo ndo ukweli ndo maana wanahaha
Inategemea na hiyo katiba mpya itakuwaje...

Inaweza ikawa ni hii hii iliyopo, ikageuzwa na kuitwa "katiba mpya". Je, unadhani katika hali hii italeta positive impact yoyote?

NOTE:
å Tusiwe confused. Tusiwe na "mindset" ya kudhani kuwa tunataka kuandika " KATIBA MPYA YA WANANCHI" ili kuiondoa CCM madarakani. No, that's not. Labda kwa sbb ya fikra hizi ndiyo maana kuna physical confrontation hatari kama hii tunayoishuhudia sasa kati ya CCM na serikali yao wanaodhani wanataka kunyang'anywa tonge mdomoni na wananchi wanaodai constitutional reforms...

å Tunataka KATIBA MPYA na NZURI inayokubalika na Watanzania wote kwa wingi wao kwa sababu ndiyo determinant factor ya existence ya kila kitu i.e serikali, chama cha siasa, umani, upendo, mshikamano, ustawi wa uchumi na huduma za kijamii nk nk..

å Tunataka kuwa na KATIBA MPYA YA WANANCHI tuliyoiandika wenyewe wananchi kwa ujumla wetu ili kuleta usawa katika shughuli zetu za kijamii, kiuchumi na kiutawala za siku kwa siku ktk nchi yetu..

å Tunataka kuwa na KATIBA MPYA YA WANANCHI ili kulipa taifa letu hili zuri la Tanzania uelekeo mpya na sahihi wa KISIASA, KIJAMII, KIUCHUMI, KIUTAMADUNI na KIUTAWALA..

å Hii haina uhusiano wowote na chama gani cha siasa kitakuwa madarakani. KATIBA YA NCHI ni kitu kikubwa mno kilicho juu ya mtu yeyote ama chama chochote cha siasa...!
 
Nimeanza kusikia hizi story , CCM kutoka Madarakani toka miaka ya 1990 enzi za Mrema. Hadi sasa nazisikia. Pengine jambo la muhimu ni kuacha hizi illusions na kujitathmini & kujipanga kwa wapinzani kutumiza kile walichokishindwa kwa miaka 25.
 
Nimeanza kusikia hizi story , CCM kutoka Madarakani toka miaka ya 1990 enzi za Mrema. Hadi sasa nazisikia. Pengine jambo la muhimu ni kuacha hizi illusions na kujitathmini & kujipanga kwa wapinzani kutumiza kile walichokishindwa kwa miaka 25.
Kumbuka vijana hawana staha. Hata huko CCM hawako station moja. Hili lichama litamfia Mwingulu na Ndungai.

Naona wazee walea chama wamerudi nyumbani kulelea wajukuu.
 
Kumbuka vijana hawana staha. Hata huko CCM hawako station moja. Hili lichama litamfia Mwingulu na Ndungai.

Naona wazee walea chama wamerudi nyumbani kulelea wajukuu.
Kikwete 2015, siku Lowasa ametoka, ilisemwa kitamfia. Leo 2021, wana 99% ya bunge na halmashauri.
 
Tunazungumza na maafisa wa juu wa Jeshi la Wananchi, maana utawala wa kiraia wa ccm unaonekana umeshindwa na sasa umekuwa utawala dhalimu, tutawaweka pembeni
 
Kikwete 2015, siku Lowasa ametoka, ilisemwa kitamfia. Leo 2021, wana 99% ya bunge na halmashauri.
Hivi mwaka 2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu? Tume ya uchaguzi iliwasumbua wapinzani kupiga kampeni lakini CCM walikuwa wanawapromoty wasanii wajulikane.

Hivi Tanzania kuna bunge? Mbona Spika wao anawashaa Tena? Vituko kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…