CCM kuondoka Madarakani siku zake inahesabika

Hivi mwaka 2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu? Tume ya uchaguzi iliwasumbua wapinzani kupiga kampeni lakini CCM walikuwa wanawapromoty wasanii wajulikane.

Hivi Tanzania kuna bunge? Mbona Spika wao anawashaa Tena? Vituko kweli kweli.
Kwani Chaguzi za 2020 zilikuwa na tofauti gani na za Miaka mingine?
 
Niliona kura zinapigiwa majumbani na kujazwa kwenye mabeji na kupelekwa vituoni kujaza mabox ili zihesabiwe na kale kamchezo kakupita bila kupingwa. Labda tuwaulize wajeda wanajua ulikuwa je?
 
Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.

Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.

Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.

Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?

CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.

Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakua na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
Hivi huwa mnaandika au mnaanzisha hizi thread mkiwa,mmelala usingizini au mkiwa mnaota?Wakati JK akiwa Rais, mliandika thread nyingi sana humu.CCM kumfia JK.Tulisuburi tuone ,hakuna kilichotikea.Sasa mmeanzisha kuwa CCM kuondoka madarakani .Huwa mnajiliwaza tu au unaandika upo serious kabisa?Kama unajiliwaza poa.Lakini kama upo serious basi, mnapoteza sana muda.
 
Ccm ni mtu? Mama akimaliza muda wake anaondoka, chadema ni chama cha Mbowe, ebu tuambie Mbowe mwaka wa ngap huu ni mwenyekiti?
Ndio maana mnamuogopa sana.

Hata akikaa miaka 30 ikishakuwa wanachama wanamtaka ni sawa.
 
CCM imeapa kuilinda amani ya nchi hii kwa namna yoyote ile. Mabeberu wanachukia sana kuona tuna amani na wanajaribu kuleta chokochoko kupitia wapinzani wenye kujali maslahi yao.

Siku CCM itakaposhindwa Kulinda amani ya nchi hii ndio utatokea upinzani wa kweli wa kuing'oa madarakani.
 
Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.

Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.

Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.

Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?

CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.

Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakua na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
Sahau kabisa hiyo dhana unatakiwa uzame sana kwenye tafukuli ya kina ya kujua nguvu ya CCM ndio utatoa uchambuzi sahihi.

Kwa kifupi CCM sio chama ila ni movement ambayo inajinasibu kuwa ni chama. CCM ni Tanzania na Tanzania ni CCM.

1) Inategemea kuishi vizuri lazima uwe CCM.
2) utakuwa bepari mzuri kama upo CCM.
3) Utafaidi usomi wako kiutendaji na madaraka kama upo CCM.
4) Utatengeneza chance zozote za ku advance kimaisha kama upo CCM.
5) ukulima wako utapata tija na kila msaada wa kiserikali na kutovurugwa kama upo CCM.
6) utapata endorsement kwa senior appointment nje ya nchi tuu kama upo CCM.
7) amani ya maisha ama ya kisomi, kielimu, kikazi au ukulima wa hali ya juu utapata utulivu tuu kama upo CCM kwingineko, utafanikiwa kwa taabu sana na unaweza ukaharibiwa maisha na kiongozi yeyote dakika tano tuu kama upo nje ya CCM.( nenda kamuulize Sumaye ataku habarisha )

Hii itakusaidia ni uhalisia wa maisha kwa ambao tumeishi miaka 23 upinzani.
 
Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.

Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.

Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.

Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?

CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.

Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakua na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
Time is ticking.
 
Hao kama Sillinde, Waitara, Lijualikali na makumi wengine, hawakuwa kitu wakiwa Chadema na walikuwa watu wa kawaida sana, lakini walipoenda CCM sio watu wa kawaida tena.

Hii ndio Chama nchi na hata John Mrema akiondoka Chadema leo atabadilisha maisha yake na família yake.

Labda uamue kuwa kama kina Prof. Lwaitama, Prof. Safari na wengine ambao wako tayari kutembea kwa miguu au kuparamia mabasi kwa sifa ya kuwa Mpinzani.

Politics is a means to make changes to your life,better life to your community and to change countrys' life for the better.
 
Ndio maana mnamuogopa sana.

Hata akikaa miaka 30 ikishakuwa wanachama wanamtaka ni sawa.
Polisi wanafanya kazi yao, kama mtu ana viashiria vya ugaidi lazima achunguzwe, eti wanachama wanamtaka ahahahahaha yeye ndio mwenye chama chake Mali yake ile
 
Ni police gani wanafanya kazi au kuwatumikia ccm?
 
Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.

Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.

Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.

Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?

CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.

Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakuwa na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
CCM ukiwambia katiba mpya wanakimbia
 
Back
Top Bottom