Kwani Chaguzi za 2020 zilikuwa na tofauti gani na za Miaka mingine?Hivi mwaka 2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu? Tume ya uchaguzi iliwasumbua wapinzani kupiga kampeni lakini CCM walikuwa wanawapromoty wasanii wajulikane.
Hivi Tanzania kuna bunge? Mbona Spika wao anawashaa Tena? Vituko kweli kweli.
Niliona kura zinapigiwa majumbani na kujazwa kwenye mabeji na kupelekwa vituoni kujaza mabox ili zihesabiwe na kale kamchezo kakupita bila kupingwa. Labda tuwaulize wajeda wanajua ulikuwa je?Kwani Chaguzi za 2020 zilikuwa na tofauti gani na za Miaka mingine?
Sasa haya ni mageni kwako?Niliona kura zinapigiwa majumbani na kupita bila kupingwa. Labda tuwaulize wajeda wanajua ulikuwa je?
Na ndiyo maana tunataka katiba mpya.Sasa haya ni mageni kwako?
Unaiona ikipatikana?Na ndiyo maana tunataka katiba mpya.
Ccm mwaka WA ngapi ipo madarakani?Katiba mpya muanze na Mbowe, mwaka wa ngapi yuko madarakani?
Kila mtu ataheshimu cheo chake na nafasi yake. Sio kujiona wa maana zaidi na kuona wengine wajinga. Hiyo katiba mpya itamfunga hata mjeda.Unaiona ikipatikana?
Ccm ni mtu? Mama akimaliza muda wake anaondoka, chadema ni chama cha Mbowe, ebu tuambie Mbowe mwaka wa ngap huu ni mwenyekiti?Ccm mwaka WA ngapi ipo madarakani?
Hivi huwa mnaandika au mnaanzisha hizi thread mkiwa,mmelala usingizini au mkiwa mnaota?Wakati JK akiwa Rais, mliandika thread nyingi sana humu.CCM kumfia JK.Tulisuburi tuone ,hakuna kilichotikea.Sasa mmeanzisha kuwa CCM kuondoka madarakani .Huwa mnajiliwaza tu au unaandika upo serious kabisa?Kama unajiliwaza poa.Lakini kama upo serious basi, mnapoteza sana muda.Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.
Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.
Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.
Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?
CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.
Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakua na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
Ndio maana mnamuogopa sana.Ccm ni mtu? Mama akimaliza muda wake anaondoka, chadema ni chama cha Mbowe, ebu tuambie Mbowe mwaka wa ngap huu ni mwenyekiti?
Sahau kabisa hiyo dhana unatakiwa uzame sana kwenye tafukuli ya kina ya kujua nguvu ya CCM ndio utatoa uchambuzi sahihi.Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.
Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.
Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.
Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?
CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.
Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakua na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
Time is ticking.Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.
Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.
Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.
Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?
CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.
Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakua na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
Polisi wanafanya kazi yao, kama mtu ana viashiria vya ugaidi lazima achunguzwe, eti wanachama wanamtaka ahahahahaha yeye ndio mwenye chama chake Mali yake ileNdio maana mnamuogopa sana.
Hata akikaa miaka 30 ikishakuwa wanachama wanamtaka ni sawa.
Ni police gani wanafanya kazi au kuwatumikia ccm?Polisi wanafanya kazi yao, kama mtu ana viashiria vya ugaidi lazima achunguzwe, eti wanachama wanamtaka ahahahahaha yeye ndio mwenye chama chake Mali yake ile
CCM ukiwambia katiba mpya wanakimbiaKila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.
Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo ulipo. Kila mtu yeyote atakayefungwa au kupigwa ama kupotezwa kwa ajili ya kudai katiba mpya ni dhambi kubwa kwa viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla. Mungu hutoa adhabu kali sana maana utawaumiza watu bure kwa kudai kitu cha haki.
Mama angeukwepa huu mtego akaacha watu wajadili katiba wawezavyo, sijaona popote CHADEMA wakipiga wala kutukana mtu au sijaona popote wakidai katiba kwa nguvu, wanadai kwa njia za kistaarabu sana kwa sababu wanatumia makongamano ya ndani na siyo mtaani. Kuwakamata na kuwatia ndani ni uonevu na ni dhambi, Mola atachukizwa na matendo haya.
Endeleeni kumshikilia Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kwa makosa ya kubambika huku dunia inaona, wananchi wanaona, tayari media zote za dunia na hapa nchini zinajua kua tuhuma ya Ugaidi ya Mbowe ni ya kubambika na sababu kuu ni kudai katiba. Nani asiyejua kua serikali na CCM hawaitaki Katiba na kwamba siyo ajenda yao?
CCM kwa sasa kinahemea nguvu ya dola, hakuna asiyekua kua wabunge wa kuchaguliwa wa CCM zaidi ya 50% walipitishwa kimabavu na wizi wa kura. Kudhibitisha haya ni kauli ya DC wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jerry Muro kwamba hua wanafunga ofisi na akishinda mtu hatangazwi. Ni dhahiri kua CCM kwa sasa haiwezi kusimama chenyewe, mabadiliko yeyote ya katiba kuhusu tume huru ya uchaguzi na utawala wa nchi kwa ujumla ni kiama kwa CCM.
Kama hutaki kuamini hili tuendelee kuamini kua CCM ni chama imara. Kama kutakuwa na miaka 10 mbele basi mtakumbuka haya maneno.
Nyie wapiga domo wa chadema lini mliacha kulalamika? Nyie ni kama kasuku wakupuuzwaNi police gani wanafanya kazi au kuwatumikia ccm?