CCM kupatana, kutengana au kuendelea kuchunguzana?

CCM kupatana, kutengana au kuendelea kuchunguzana?

Is it correct to ask;

For how long will opposition parties continue to bend over to accomodate CCM mistakes and stupidity for expenses of Tanzanian tax payer in the so called ruzuku?

Wabz,

Both statements are valid and strong punches!
 
mpasuko (niwe wa kwanza kutumia neno hilo) uliopo ndani ya CCM ni mkubwa mno kiasi kwamba wanaweza kuishia "kukubaliana kutokubaliana" lakini vile vile bila kufukuzana au kutukanana! wimbi limegeuka... goliathi anayumba
.
Hiki ndicho kilichotokea Dodoma jana.
 
mpasuko (niwe wa kwanza kutumia neno hilo) uliopo ndani ya CCM ni mkubwa mno kiasi kwamba wanaweza kuishia "kukubaliana kutokubaliana" lakini vile vile bila kufukuzana au kutukanana! wimbi limegeuka... goliathi anayumba

Wamekubaliana kutokukubaliana that is very dangerous game ni kama kukubaliana na mke wako kwamba kila mtu afanye ufirauni wake anaojua mchana ila usiku mkutane nyumbani hiyo ndoa nakuhakikishia haitadumu labda kila mtu avumilie maumivu
 
Is it correct to ask;

For how long will opposition parties continue to bend over to accomodate CCM mistakes and stupidity for expenses of Tanzanian tax payer in the so called ruzuku?

Mkuu Waberoya,

How can you expect anything more from opposition while Tanzanians are not political aware?

What more can Dr Slaa and Chadema do?

Haven't they just finish/ ongoing Sangara campaign?

Don't you hear what their MP's doing in the parliment?

We need to take responsibity for our own stupidy and not passing the blame to oppositions...mind you they are all "politicians".
 
Is it correct to ask;

For how long will opposition parties continue to bend over to accomodate CCM mistakes and stupidity for expenses of Tanzanian tax payer in the so called ruzuku?

Waberoya should you at least appreciate what is being done by the political opposition parties especially their MPs instead of discouraging, they are very few in the parliament but are trying their level best compared to 300 MPs from the ruling party CCM

do you know how much does CCM receive ruzuku per month from the taxpayers compared to opposition parties in total and do CCM deliver what they are supposed to NO they deliver nothing instead so dont blame opposition for the sake of blaming.
 
For how long will Watanzania continue to bend over to accomodate CCM mistakes and stupidity?

Amani iwe na kwao pia!

Ni mpaka hapo watanzania watakapoweza kutofutisha nyeupe na nyeusi au usiku na mchana. Kama watu wanashida ya maji Makamba anawapa kofia wanashangilia unataraji nini ? Vinginevyo ni kusubiri huruma ya Mungu wetu Mkubwa aliye juu atukomboe kama wana wa Israeli kwa Firaun
 
Back
Top Bottom