PreGE2025 CCM kupitia Makalla imesema haina muda wa kufanya mabadiliko

PreGE2025 CCM kupitia Makalla imesema haina muda wa kufanya mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jionee mwenyewe Ndugu Mtanzania


Mabadiliko ya kweli nchini Tanzania kamwe hayataletwa na CCM.
Mabadiliko ya kweli lazima yatatoka nje ya CCM.

Na ili kupata mabadiliko ya kweli katika nchi hii ya Tanzania ni LAZIMA CCM IFE KWANZA. Bila ya CCM kufa kwanza kamwe Mabadiliko ya kweli hayataweza kupatikana.

Nchini Kenya enzi za Utawala wa KANU, aliyekuwa Rais wa nchi hiyo na Utawala wake walikuwa wanafanya mambo ya hovyo Kama haya haya yanayofanywa na CCM hapa Tanzania. Ili kuleta Mabadiliko waliyokuwa wakiyataka Wananchi wa Kenya waliamua kuiua KANU kwanza ndipo walipofanikiwa kuleta Mabadiliko waliyonayo hivi Sasa
 
kwani wanatakiwa kufanya mabadiliko ni chama ama ni serikali.

hii ishu ya mabadiliko ni ya Rais sio ccm. anaongelea ishu isiyomhusu.
 

Attachments

  • 💋ANATROPIA__LISSU_AMEWEKWA_NDANI_KWA_KUTAKA_REFORM_✌️🔥_#breaking_#globaltv_#shortsvideo_#viral...mp4
    1.5 MB
Mpaka leo sielewi huyo jamaa anacheo gani hapo ccm..😂
 
Mpaka kufikia sasa hivi mwenzenu nimeshindwa kutofautisha ssm na serikali. Kwamba ssm ni ipi na serikali ni ipi. Sijui wenzangu mnalionaje hilo.
 
Back
Top Bottom