CCM kurudi enzi za kuficha share zao hadi wafike kwenye ukumbi?

CCM kurudi enzi za kuficha share zao hadi wafike kwenye ukumbi?

Kwa aibu mlililo litia Taifa letu,hata zile nguo zenu,zinatupa kinyaa wengine,tena yafaa mumshukuru mwenyekiti wenu mpya kwani anawabeba kwa sifa yake,ya kupenda haki na uelekeo wa kurejesha democrasia,ila hata msivae hiyo minguo yenu bado,Hadi aibu muliyojijengea iweze kufutwa kabisa.
Duh. Hii comment ni ya kibabe kabisa.
 
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.

Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.

Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo maoni yanakinufaisha chama na wanachama ama ni kuwanufaisha wapinzani.

Kiufupi wanachama wanaona wapinzani wakiwa na furaha na kuwazodoa huku ccm wenyewe wakibaki kumkosoa mwenyekiti wao na kukosa nguvu ya ushawishi mtaani.

Swali?. Watarudi enzi za kuvaa nguo ukumbini tu?
Kuna sifa gani kuvaa sara ya CCM kama wewe ni Masikini. Magufuli alifanya watu wauzoeee Umasikini wakati Umasikini ni Adui katika maadui zetu watatu

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Tuliacha kuzomewa kwa sababu ulikuwa ukitukera tunakuteka🤣🐒

-Fear is stronger than love
 
Back
Top Bottom