Pre GE2025 CCM kushinda 2025 inahitaji kura kuu 2 tu

Pre GE2025 CCM kushinda 2025 inahitaji kura kuu 2 tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
CCM kushinda 2025 Inahitaji kura kuu 2 TU!

a) Kura za wanawake ambapo inatakiwa link kati ya wanawake na CCM, ndo sababu ya Jokate Mwegelo kupewa UWT. Mind you mtu alozaliwa 1990-1994 ni Mama na potential voter wa 2025/2030. Na huyu by any means anamjua Jokate kama rolimodo wake

Screenshot_20231022-214956.jpg

b) Kura za "wanyonge" ambao wana hangover ya Magufuli. Hawa wanaamini utawala wa sasa ni wa ma bourgeois na si wa wanyonge wamemiss touches za Magu, na hii ndo Link ya Paul na chama.

Mind you, Makonda hajawahi kuwa na shida na "Wanyonge" huko ni kipenzi cha wengi. Makonda amewahi kuwa na shida na Elite/Middle/Upper class ambao in fact sio wapiga kura!

FB_IMG_1698002009765.jpg

Zaidi, CCM ina resources zote za kuelewa, kuchakata na kuamua mambo yote yahusuyo nchi hii as of now! They know what they're doing!

Tukutane Kilingeni 2024/2025.
 
Ndugu zangu Wana CCM tusiwe Wanyonge. Ushindi upo midomoni mwa wasanii. Tuwape ushirikiano.
 
..Ccm imeshindwa kuongoza kwa miaka 63 toka uhuru, hata tukiwaongeza miaka 5 wataendelea kuongoza vibaya.
 
Back
Top Bottom