CCM kushiriki uchaguzi bila CHADEMA no sawa na Profesa kishindana na Darasa la Saba!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,867
Unalionaje hilo?

Profesa wa Hesabu akishiriki kwenye mitihani ya darasa la saba!
1. Akifurahia kufaulu atachekwa! Haitarajiwi darasa la saba amshinde Profesa. Bora hata kama angekuwa ni Ph.D. Holder

2. Akifeli tutamshangaa! Aliupataje Uprofesa wa Hesabu ikiwa Hesabu ya Darasa la Saba inamsumbua?

CCM ipo katika hali kama hiyo. Ni CHADEMA pekee ndicho Chama kinachoonekana kinaweza kutunishiana nayo misuli. Hivyo vingine ni sawa na darasa la saba mbele ya Profesa.
 
1744223577669.png
 
What is chadema?
 
Eti vyama kumi na nane vimesaini kanuni za maadili ya uchaguzi, katika vyama hivyo mimi naona kuna chama kimoja na robo yaani ssm na aacct hivyo vingine ni mufilisi tangu enzi za kale
 
Hapa ccm ndio wamefurahia imebaki vita ya ndani ya chama ukishinda hiyo basi njia Moja kwa Moja hadi kiti chekundu area what sijui hapo Dom
 
Na hapo moto unakwenda kuwaka. Baadhi ya wana ccm this time wanakwenda kujiunga na mzee wa ubwabwa
 
Back
Top Bottom