GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
What is chadema?Unalionaje hilo?
Profesa wa Hesabu akishiriki kwenye mitihani ya darasa la saba!
1. Akifurahia kufaulu atachekwa! Haitarajiwi darasa la saba amshinde Profesa. Bora hata kama angekuwa ni Ph.D. Holder
2. Akifeli tutamshangaa! Aliupataje Uprofesa wa Hesabu ikiwa Hesabu ya Darasa la Saba inamsumbua?
CCM ipo katika hali kama hiyo. Ni CHADEMA pekee ndicho Chama kinachoonekana kinaweza kutunishiana nayo misuli. Hivyo vingine ni sawa na darasa la saba mbele ya Profesa.
Hesabu zao zimebuma mapema itakuwa kama Ile ya COVID-19Ndio walichokua wanakitafuata
Na hapo moto unakwenda kuwaka. Baadhi ya wana ccm this time wanakwenda kujiunga na mzee wa ubwabwaHapa ccm ndio wamefurahia imebaki vita ya ndani ya chama ukishinda hiyo basi njia Moja kwa Moja hadi kiti chekundu area what sijui hapo Dom