MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,069
- 713
1. Tume ya uchaguzu inachaguliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
2. Msajili wa vyama vya siasa huteuliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
3. Rais ambaye ni mwenyekeiti wa CCM ndiye anatafuta pesa za uchaguzi
4. Jaji mkuu anateuliwa na kufukuzwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
5. Mkuu wa majeshi anateuliwa na kufutwa kazi mwenyekeiti wa CCM
6. Wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama huteuliwa na kufutwa kazi mwenyekeiti wa CCM
7. Baraza la mawaziri huteuliuiwa au kuvunjwa na mwenyekeiti wa CCM
8. Wabunge wa CCM hupitishwa na mwenyekeiti wa CCM kugombea ubunge
9. Jina la spika kugombea uspika hupendekezwa na mwenyekeiti wa CCM na kupigiwa kura na wanachama waliopitishwa na CCM. Wakipingana na mwenyekiti mwenyekiti wa CCM anaweza kulivunja bunge tukaanza upya.
10. Wakuu wa wilaya,wakurugenzi, wakuu wa mikoa, RAS huteuliwa na mwenyekiti wa CCM.
11. Mchakato wa katiba mpya mpaka uitishwe na mwenyekiti wa CCM.
Kwa mtazamo wangu kuitoa CCM madarakani haiwezekani
😉 NGUME KUMEZA
SURUHISHO: Tuchape kazi tu kwani haina tofauti na aliehukumiwa kifungo cha maisha, either asuburi msamaha wa Rais au mpaka afe.