Wolle Melkas Fernando
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 284
- 396
Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo.
Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama.
Kinachotoea sasa na Kinachoendelea ni udhalilishaji Hawa walengwa yaani Wakulima na Wafanyakazi.
Matajiri wanapewa heshima kubwa mno na wanaogopwa na CCM kuliko Wajumbe wanaofanya maamuzi ya Chama.
CCM imewabeba Matajiri, Mabwanyenye, wakwepa Kodi kisa tu wanakichangia Chama. CCM inahitaji reforms kuliko Chadema unayohitaji.