CCM kutoka madarakani haimaanishi nchi itabadilika

Kenya nk hiyo mifano ulotoa matatazo yakiuchumi yameisha
 
Suppose ni kweli CCM itatoka madarakani, ndio aje nani nafasi ya CCM?!.
Kinachofanya CCM inaendelea kutawala milele Tanzania ni kwasababu bado hatuna chama mbadala, hivyo CCM ikiondoka kati ya hawa waliopo, ndio aje nani?.

P
Hatutaki aje Nani Wala Nani Bali tunataka ,Mfumo mzuri na wakweli wa kumuweka na kumuwajibisha yoyote yule atakaeingia katika MADARAKA ya nchi ,yetu

Tunataka TAASISI IMARA amabazo hazitawajibika kwa kiongozi yoyote yule Bali kwa watanzania wote ,ili maendeleo ya kweli yaje
 
Basi turudi chama kimoja kubwa tubadili sera zetu za kiuchumi
 
Kama ulivyoona mtu mmoja tu Ie Magufuli alipitoka madarakani nchi ilibadilika basi hilo genge zima likitoka madarakani nchi itazalliwa upya.
 
Umekunyws maji ya bendera rangi gani mwehu kweli ww kenya ipi unozungumza

ukifuatia kwa umakini kenya tok
tokea wafany mabadilko ya katiba uchumi wao umeporomoka siku hadi siku na ufisadi umeshamiri tn hasa wanasiasa
 
Kwahiyo unashauri tuondoe vyama vya siasa jeshi litawale? Au tuendelee tu na ccm maana unaamini hakuna mabadiliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…