Pre GE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?

Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.

Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.

Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.

Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Sasa unataka ajibiwe na nani na huyo ndie saizi yake chale mwenzake, Lissu keshadharaulika zamani hao wenyewe chadema wanamwangalia akiha ngaika na dunia, bado Lissu mgonjwa tumuonee huduma.
 
Ni ngesoma andiko lako bila kumskiliza steve ningeona una point.ila baada ya kumskiliza naungana nae,badala yankusema sera na mipango unakaa kusema watu of which haitusaidii sisi kama wananchi, lete hoja mfano plan yako in 5 years kwejye sera ya maji tutaboresha hiki tutafanya hiki,leo opposition hatuna sera kaz kukaa et kumtegemea maranja alete twitter
 
Sasa ulitaka Lissu ajibiwe na nani zaidi ya huyu?
 
Ni ngesoma andiko lako bila kumskiliza steve ningeona una point.ila baada ya kumskiliza naungana nae,badala yankusema sera na mipango unakaa kusema watu of which haitusaidii sisi kama wananchi, lete hoja mfano plan yako in 5 years kwejye sera ya maji tutaboresha hiki tutafanya hiki,leo opposition hatuna sera kaz kukaa et kumtegemea maranja alete twitter
Unastahili kuitwa mjinga. Sera na mipango iko kwenye ilani, utazungukaje unatangaza nitafanya hili na lile na hauko madarakani? Kama sio wehu ni nini? Unapaswa kueleza palipo kwama, kuibiwa na kubovu huku ukitaja wahusika na sababu zake ili wawaondoe na kuruhusu sera zako zitumike.
Sasa wewe unaona ni ajabu kuwaeleza wananchi jinsi mtoto wa Rais anavyotumia vibaya nafasi ya kuzaliwa na Rais katika uchumi wa nchi?
Kama hilo hulioni baya basi una kasoro katika kufikiri kwako.
 
Ukifilisika akili uatajikuta unafanya hadi mambo ya aibu!
Hiki chama tan gu walipoachana na Mungu na kumkumbatia yule
"aliye kinyume" nae imekuwa ni aibu kila uchwao!
 
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?

Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.

Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.

Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.

Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
CCM imefulia kweli kweli huyu ni wa kumsemea Rais kweli?
 
Attachments

  • IMG-20240207-WA0000.jpg
    IMG-20240207-WA0000.jpg
    63.2 KB · Views: 3
Nimesoma post 19 za mwanzo naona hakuna aliyemsikiliza Steve Nyerere.., Mimi sio mfuasi wa Steve Nyerere wala wasanii, ila kwenye hiyo Clip kuna point kubwa kaongea, mkiweka vyama pembeni mtaelewa.

Watu wameichoka CCM ila CDM nao wanazingua. Ukifatilia ziara za Lissu zimejikita kuongelea watu, mara Abdul, mara Nyalandu etc, CDM hawajikiti kwenye matatizo ya wananchi na kutoa alternative hata kuwashauri wafanyeje.

Wamejikita kwenye siasa za matukio zaidi. Watanzania wa chini, wengi hata smartphone hawana , Abdul watamjulia wapi!?
Mie nikajua uno hoja kumbe nawewe ni mbumbumbu tu
Sasa unataka ajibiwe na nani na huyo ndie saizi yake chale mwenzake, Lissu keshadharaulika zamani hao wenyewe chadema wanamwangalia akiha ngaika na dunia, bado Lissu mgonjwa tumuonee huduma.
Yaani baba yako ndo mgonjwa halafu unamsingizia LISSU kama siyo mental case ni nini? Huyo Steve saizi zake zipo hukohuko ccm mpuuzi wewe
 
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Tatizo mmekosa sifa za kuwa mbadala wa CCM kuanzia sera zenu, mikakati yenu, utendaji kazi wenu, weledi wenu, matamko yenu! Jeuri ya kusema akili kubwa hamna ingawa niliitilia masha Toka awali.

Kwa ufupi jitazamane kwanza ninyi Chadema( au umeamia kwa ACT Wazalendo) ili muweze kuwa mbadala kwa Chama makini cha CCM.
 
Usishangae !hicho ni kitengo Cha propaganda ikulu na hio ndio kazi yake!

Anaifanya KAZI ya Cyprian Musiba vizuri sana!!

Yupo Kwa kazi maalum Kwa sana!
 
Back
Top Bottom