Pre GE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa unataka ajibiwe na nani na huyo ndie saizi yake chale mwenzake, Lissu keshadharaulika zamani hao wenyewe chadema wanamwangalia akiha ngaika na dunia, bado Lissu mgonjwa tumuonee huduma.
 
Kuwadi mwandamizi akimsemea Rais. CCM imeishiwa kweli kweli
 
Ni ngesoma andiko lako bila kumskiliza steve ningeona una point.ila baada ya kumskiliza naungana nae,badala yankusema sera na mipango unakaa kusema watu of which haitusaidii sisi kama wananchi, lete hoja mfano plan yako in 5 years kwejye sera ya maji tutaboresha hiki tutafanya hiki,leo opposition hatuna sera kaz kukaa et kumtegemea maranja alete twitter
 
Sasa ulitaka Lissu ajibiwe na nani zaidi ya huyu?
 
Unastahili kuitwa mjinga. Sera na mipango iko kwenye ilani, utazungukaje unatangaza nitafanya hili na lile na hauko madarakani? Kama sio wehu ni nini? Unapaswa kueleza palipo kwama, kuibiwa na kubovu huku ukitaja wahusika na sababu zake ili wawaondoe na kuruhusu sera zako zitumike.
Sasa wewe unaona ni ajabu kuwaeleza wananchi jinsi mtoto wa Rais anavyotumia vibaya nafasi ya kuzaliwa na Rais katika uchumi wa nchi?
Kama hilo hulioni baya basi una kasoro katika kufikiri kwako.
 
Ukifilisika akili uatajikuta unafanya hadi mambo ya aibu!
Hiki chama tan gu walipoachana na Mungu na kumkumbatia yule
"aliye kinyume" nae imekuwa ni aibu kila uchwao!
 
CCM imefulia kweli kweli huyu ni wa kumsemea Rais kweli?
 

Attachments

  • IMG-20240207-WA0000.jpg
    63.2 KB · Views: 3
Mie nikajua uno hoja kumbe nawewe ni mbumbumbu tu
Sasa unataka ajibiwe na nani na huyo ndie saizi yake chale mwenzake, Lissu keshadharaulika zamani hao wenyewe chadema wanamwangalia akiha ngaika na dunia, bado Lissu mgonjwa tumuonee huduma.
Yaani baba yako ndo mgonjwa halafu unamsingizia LISSU kama siyo mental case ni nini? Huyo Steve saizi zake zipo hukohuko ccm mpuuzi wewe
 
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Tatizo mmekosa sifa za kuwa mbadala wa CCM kuanzia sera zenu, mikakati yenu, utendaji kazi wenu, weledi wenu, matamko yenu! Jeuri ya kusema akili kubwa hamna ingawa niliitilia masha Toka awali.

Kwa ufupi jitazamane kwanza ninyi Chadema( au umeamia kwa ACT Wazalendo) ili muweze kuwa mbadala kwa Chama makini cha CCM.
 
Usishangae !hicho ni kitengo Cha propaganda ikulu na hio ndio kazi yake!

Anaifanya KAZI ya Cyprian Musiba vizuri sana!!

Yupo Kwa kazi maalum Kwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…