Elections 2010 CCM kuunguruma Jangwani kesho Jumamosi

Elections 2010 CCM kuunguruma Jangwani kesho Jumamosi

upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mwingine huoooooooooooooooo ndani ya masikio ya wadanganyika
 
mengi yametokea mkutanoni.......SERA...AHADI....MAHUDHURIO....MATUKIO(kuanguka)....KUPITA BILA KUPINGWA..(MADIWANI ZAIDI YA 400 NA WABUNGE 13)...NA MENGINE MENGI.....!
 
Tobaaaa!! Huna habari kuna fundi mmoja katabiri mwezi uliuopita.... Kifaulongo ataanguka tena........ puu!!!!
.
macho_mdiliko
Huyu fundi siyo wa kupuuzwa, ni wa kutafutwa ili sio tuu kutueleza ataanguka, bali atueleze na sababu halisi za kuanguka kabla ya taarifa rasmi ya Daktari wake itakayotolewa Jumatatu asubuhi kuwa kuanguka ni just 'physical fatigue', mzee yuko fit kabisa!.
 
Huyu Fundi ni fundi kweli..... sio kama sheikh Yahaya..... alilotabiri limetokea...

Nadhani CCM watamhitaji sana kumuongeza kwenye campagn team yao kama mshauri, ili kabla mzee hatapanda jukwaani, awaangalizie kwanza upepo!.
Shirika la ndege la BA limewaajiri ma pyschic wa pre-cognition na pre-amonition ambao kazi yao ni kusikilizia usalama wa ndege zao, kamwe hutakaa usikie yakutokea yakitokea kwa BA.
Naamini by now, tayari manyoka weshatumwa kumsaka huyo fundi na kuukwaa ulaji.
 
Huyu Fundi ni fundi kweli..... sio kama sheikh Yahaya..... alilotabiri limetokea...

Nadhani CCM watamhitaji sana kumuongeza kwenye campagn team yao kama mshauri, ili kabla mzee hatapanda jukwaani, awaangalizie kwanza upepo!.
Shirika la ndege la BA limewaajiri ma pyschic wa pre-cognition na pre-amonition ambao kazi yao ni kusikilizia usalama wa ndege zao, kamwe hutakaa usikie yakutokea yakitokea kwa BA.
Naamini by now, tayari manyoka weshatumwa kumsaka huyo fundi na kuukwaa ulaji!.
 
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna walivyojipanga kwa miaka 5 ijayo.....WE SHOULD NOT JUDGE A BOOK BY ITS COVER.....BALI TWENDE TUJIONEE WENYEWE....!

Eleze uliyoyaona mwenyewe Jangwani...
 
Back
Top Bottom