Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Inadaiwa kuwa ukiwa mkuu wa wilaya, mkurugenzi, Das au mbunge kazi yako ni kuwahudumia wananchi. Kwa maana hiyo CCM haioni sababu ya mtu kuacha kuwatumikia wananchi kama DC ili ukawatumikie kama mbunge. Hivyo ubunge safari hii ni kwa wale wasiokuwa watumishi wa umma au wanasiasa walioteuliwa katika nyadhifa zinazowapa fursa ya kuwatumikia wananchi directly. Ahsante!