Tetesi: CCM kuwapiga marufuku maDC na wakurugenzi kugombea ubunge

Wameona aibu Kwa Mwakalebera anambwela mbwela tu hana pa kushika
 
Inadaiwa kuwa ukiwa mkuu wa wilaya, mkurugenzi, Das au mbunge kazi yako ni kuwahudumia wananchi. Kwa maana hiyo CCM haioni sababu ya mtu kuacha kuwatumikia wananchi kama DC ili ukawatumikie kama mbunge. Hivyo ubunge safari hii ni kwa wale wasiokuwa watumishi wa umma au wanasiasa walioteuliwa katika nyadhifa zinazowapa fursa ya kuwatumikia wananchi directly. Ahsante!

HAWA KAZI YAO ITAKUWA MOJA TU NI KUHAKIKISHA CCM INASHINDA HATA KWA GOLI LA MKONO.
 
Back
Top Bottom