Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Watapata kura wapi kwanza? Huenda waibeBashite na Gambo?
Hawa wakishindanishwa na Mawe kwenye Uchaguzi ulio Huru na wa Haki, Mawe yanachkua/yanashinda.Bashite na Gambo?
Gambo anagombea Arusha mjini maana Ilala Zungu hamwichi salama..Bashite na Gambo?
Maza wa Kilimanjaro ya CCM hayamuhusu!Wanamgeuka yule maza wa kilimanjaro na kaka jambazi wa dar
Kwani Zungu atagombea 2020?!!!!Gambo anagombea Arusha mjini maana Ilala Zungu hamwichi salama..
Wanaweza kujiuzulu sasa ili waanze harakati!Kukuru karara zote za Bashite na Mgambo ni kwa ajili ya ubunge halafu mnaleta mizengwe!
Na aliye kuteua akitengua cheo chako inakuwaje wakati uchaguzi umesha pita?Inadaiwa kuwa ukiwa mkuu wa wilaya, mkurugenzi, Das au mbunge kazi yako ni kuwahudumia wananchi. Kwa maana hiyo CCM haioni sababu ya mtu kuacha kuwatumikia wananchi kama DC ili ukawatumikie kama mbunge. Hivyo ubunge safari hii ni kwa wale wasiokuwa watumishi wa umma au wanasiasa walioteuliwa katika nyadhifa zinazowapa fursa ya kuwatumikia wananchi directly. Ahsante!
Wewe unacho kichwa?!!! Mbona unateleza sana!Habari zingine hazina kichwa wala miguu..
Ukiwa na maadili mema kazini utatenguliwaje?!!!Na aliye kuteua akitengua cheo chako inakuwaje wakati uchaguzi umesha pita?
Sent using Jamii Forums mobile app