CCM kuweka mabadiliko ya Katiba kwenye ilani ya 2020-2025 wanalenga tupate Katiba ya wananchi au ya watawala?

CCM kuweka mabadiliko ya Katiba kwenye ilani ya 2020-2025 wanalenga tupate Katiba ya wananchi au ya watawala?

Kuna kitu kibaya sana kinaandaliwa na ccm ktk nchi hii, ila ukiona giza linazidi kuwa kali ujue kumekaribia kucha.
 
hyo katiba itakua ni ya kutokua na mwisho wa rais kuongoza na kutotoka madarakani

tunaiendea Rwanda n Uganda very soon

jamni bora tuende ata chama cha mafisi kuliko hapa tulipo
 
hyo katiba itakua ni ya kutokua na mwisho wa rais kuongoza na kutotoka madarakani

tunaiendea Rwanda n Uganda very soon

jamni bora tuende ata chama cha mafisi kuliko hapa tulipo
Mbona husemi URUSI
 
Wanatafuta kura tu hawana lolote.Hata milioni 50 kwa kila kijiji si ilikuwa ni moja ya ahadi yao kwa wananchi?!
Unaikumbuka ile MAHAKAMA YA KADHI?
Halafu hapo anatokea mwendazimu anataka akuaminishe kwamba "Wanatimiza ahadi zao!!!"
Kuwaamini fisiemu inatakiwa ujitoe akili kwanza...
Hao machinga wasubiri uchaguzi huu upite watalijua jiji!!
 
Back
Top Bottom