pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Mbona husemi URUSIhyo katiba itakua ni ya kutokua na mwisho wa rais kuongoza na kutotoka madarakani
tunaiendea Rwanda n Uganda very soon
jamni bora tuende ata chama cha mafisi kuliko hapa tulipo
Mbona husemi URUSI
Unaikumbuka ile MAHAKAMA YA KADHI?Wanatafuta kura tu hawana lolote.Hata milioni 50 kwa kila kijiji si ilikuwa ni moja ya ahadi yao kwa wananchi?!
Akiliccm halisiMkuu wewe wa PHD kagombee ili uwashinde hao wa darasa la saba au wewe ni mtoa mapovu tu wa kwenye mitandao ya kijamii kama JF?
Wanatafuta kura tu hawana lolote.Hata milioni 50 kwa kila kijiji si ilikuwa ni moja ya ahadi yao kwa wananchi?!
Halafu hapo anatokea mwendazimu anataka akuaminishe kwamba "Wanatimiza ahadi zao!!!"Unaikumbuka ile MAHAKAMA YA KADHI?