Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Hawatahama, Ila nina wasiwasi sana Kukatwa kwa watu Fulani fulani, kutaathiri Sanduku la Kula kwenye Uchaguzi Mkuu; Hasahasa kama watakwatwa katika mazingira Ambayo hayajasomeka Vyema;Sisiemu hawawezi kwenda upinzani, ni waoga sana kipindi hiki, wataona ni bora kubaki humo kuliko kufanya kama Membe.
Hii dhana yako ina ukweli nusu. Tunawajua watu wengi wasio na connection yoyote. Wengi wamejituma wenyewe wakiamini ukionekana tu hata kama hutapata basi utalamba teuzi.Yaani mpaka dakika hii hujagundua kama huu ni mkakati ambao ni well designed kuonyesha kukua kwa demokrasia ndani ya chama na pili kila aliyechukua form jina lake limeandikwa kwa kalam ya dhahabu, na kuahidiwa kuwa ulaji upo tu, ngoja tuchukue dola. Watu wanaweka akiba ya baadae wala hakutakuwa na mgogoro hilo sahau
Uko sahihi mno, sasa hvi ni waoga kama mbwa koko.Sisiemu hawawezi kwenda upinzani, ni waoga sana kipindi hiki, wataona ni bora kubaki humo kuliko kufanya kama Membe.
Sana sana watakaokatwa watahamia plan b ya praise team kwa yesu wa bongo ili angalau awaone kwenye u dc, rc, das etcSisiemu hawawezi kwenda upinzani, ni waoga sana kipindi hiki, wataona ni bora kubaki humo kuliko kufanya kama Membe.