CCM Kuweni makini na kauli za viongozi kama hawa, wanalipasua taifa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kauli kama hizi zinalipasua Taifa kuanzia kwenye chama chenyewe yaani ndani ya ccm.

Hata kama VP amewachiwa ngazi lkn haileti afya kumuita kuwa yeye ni nyoka Haya maneno yanatamkwa na kiongozi mkubwa wa chama yaani CCM.

Hii ni aibu sana kwa chama tawala kuwa na viongozi kama huyu.
 
View attachment 3658350
Screenshot_20260827-082333.png
 
Mwashamba wapii lete stori kumbe huko Kuna majoka hizi njaa hizo jamani basi ile kambi itafanya shrehe maana njia ya urais nyeupe hsasa ukuizingtia kuwa kura za wananchi haziaamui according to Nape
 
Aibu utaona ww
 
Haijaisha mpaka iishe hii ngoma bado mbichi sana
 
Kwanini msiache CCM ijifukie ijizike yenyewe?

Naungana na Alwatani_ Alitoa comment moja humu kuwa ninyi wengi wenu ni wana CCM, mnaipigania CCM bila kujijua.
 
Back
Top Bottom