MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
hii ndo shida ya kuongea na CHIZIMTOTOSawa wewe uliye mzima, kwa hiyo ulitaka Raisi wa JMTZ alindwe na CCM?

hii ndo shida ya kuongea na CHIZIMTOTO
Mimi naona serekali ndo imetekwa na chama.Kwa kanuni za msingi kabisa chama maana yake ni matakwa ya wanachama.
Iwe kiitikadi, kimaslahi au hata kimatarajio.
CCM imeanza kupoteza kwa kasi misingi hii ambayo inajengwa kwa ushawishi wa wanachama.
Hii ni hatari.
Katika kampeni tunazoziona Mwenyekiti wa chama hana tofauti na rais wa dola.
Analindwa, tena kwa mitutu wazi wazi, na vyombo vya dola.
Mwenyekiti walinzi wake wa serikali wamevaa nguo za chama.
Magari yote ya msafara, tunajua ni ya serikali, sasa yanatumika moja kwa moja na chama.
Kuna mmoja akadiriki kusema ma V8 ya chama ndio mafanikio ya chama.
Idara za maadhimisho kitaifa, idara ya serikali, kutumika moja kwa moja na chama.
Sasa mtu anajiuliza chama kimeishia wapi na dira imeanzia wapi.
Increasingly inaonekana kwamba sasa tunaipigia kura serikali.
Bashiru ana kazi kubwa ya kupambanua kwamba nyomi zinazoonekana si lazima ziwe za wafuasi wa chama, bali wananchi waliokusanywa na serikali vijijini ili kuishangilia serikali.
Mioyoni mwao kuna vitu tofauti kabisa.
Mwalimu aliwahi kusema Tujisahihishe.
Nami nilikuwa operation hiyo ya JKT, 1977.
Soma mada uelewe. Mtoa mada alimaanisha nini. Mchakato mzima wa chama umegeuzwa kuwa wa Serikali.Kwa hiyo ulitakja Raisi wa JMTZ asafiri bila ya Ulinzi wa Serikali? Unataka kuniambia Raisi wa USA D.Trump akienda kwenye Kampeni Florida au popote pale analindwa na kutumia magari ya Chama cha Republican na siyo beast lake la Serikali?
Ninyi watu ni wa ajabu sana, hivyo hata Katiba ya JMTZ mnaijua kweli? Hivi shida yenu ni nini, ni intelligence yenu haitoshi kuelewa mambo na kutatua matatizo au vipi?
Soma mada uelewe. Mtoa mada alimaanisha nini. Mchakato mzima wa chama umegeuzwa kuwa wa Serikali.
Una low IQ, ...
Haya unayoyaona yanafanyika leo adhari zake zitakuwa wazi sana 2025. Ccm haitaweza tena kusimama yenyeweKwa kanuni za msingi kabisa chama maana yake ni matakwa ya wanachama.
Iwe kiitikadi, kimaslahi au hata kimatarajio.
CCM imeanza kupoteza kwa kasi misingi hii ambayo inajengwa kwa ushawishi wa wanachama.
Hii ni hatari.
Katika kampeni tunazoziona Mwenyekiti wa chama hana tofauti na rais wa dola.
Analindwa, tena kwa mitutu wazi wazi, na vyombo vya dola.
Mwenyekiti walinzi wake wa serikali wamevaa nguo za chama.
Magari yote ya msafara, tunajua ni ya serikali, sasa yanatumika moja kwa moja na chama.
Kuna mmoja akadiriki kusema ma V8 ya chama ndio mafanikio ya chama.
Idara za maadhimisho kitaifa, idara ya serikali, kutumika moja kwa moja na chama.
Sasa mtu anajiuliza chama kimeishia wapi na dira imeanzia wapi.
Increasingly inaonekana kwamba sasa tunaipigia kura serikali.
Bashiru ana kazi kubwa ya kupambanua kwamba nyomi zinazoonekana si lazima ziwe za wafuasi wa chama, bali wananchi waliokusanywa na serikali vijijini ili kuishangilia serikali.
Mioyoni mwao kuna vitu tofauti kabisa.
Mwalimu aliwahi kusema Tujisahihishe.
Nami nilikuwa operation hiyo ya JKT, 1977.
wewe ni chizi tunaongea lugha ya kichizi utanielewa tuUnaona ulivyo? Una low IQ, ...
Hajasema aondolewe ulinzi. Lakini style ya ulinzi huo tofauti na hajanyimwa kutumia usafiri wa serikali Bali chama kinapaswa kuulipia.Kwa hiyo ulitakja Raisi wa JMTZ asafiri bila ya Ulinzi wa Serikali? Unataka kuniambia Raisi wa USA D.Trump akienda kwenye Kampeni Florida au popote pale analindwa na kutumia magari ya Chama cha Republican na siyo beast lake la Serikali?
Ninyi watu ni wa ajabu sana, hivyo hata Katiba ya JMTZ mnaijua kweli? Hivi shida yenu ni nini, ni intelligence yenu haitoshi kuelewa mambo na kutatua matatizo au vipi?
Hajasema aondolewe ulinzi. Lakini style ya ulinzi huo tofauti na hajanyimwa kutumia usafiri wa serikali Bali chama kinapaswa kuulipia.
Umewahi kuona Hilo beast limekuwa branded na colour za Republican? Je unatambua msafara wake wote unalipwa na chama maana hizo sio shughuli za serikali? Unatambua wadau wote wa vyombo vya ulinzi hawatakiwi kuwa na mahusiano yeyote na chama, Hawa wamevaa mpaka date zao.
Boss Kama hujui omba kueleweshwa.Kwa nini Chama kilipie ulinzi na usafiri wa Raisi wa JMTZ? Raisi D. Trump akienda kwenye Kampeni kutumia ndege Air force one anayelipia hiyo gharama ni Chama chake au Serikali ya USA?
Nafikri mnasaha ukwamba Mgombea wa CCM ni Raisi wa JMTZ, hivyo popote anapokwenda na haijalishi mazingira gani anakwenda kama Raisi wa nchi kwanza na hayo mengine baadaye, ...
Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October
Umeongea vitu vya maana sana mzee wangu. Wenye kuelewa wameelewaKwa kanuni za msingi kabisa chama maana yake ni matakwa ya wanachama.
Iwe kiitikadi, kimaslahi au hata kimatarajio.
CCM imeanza kupoteza kwa kasi misingi hii ambayo inajengwa kwa ushawishi wa wanachama.
Hii ni hatari.
Katika kampeni tunazoziona Mwenyekiti wa chama hana tofauti na rais wa dola.
Analindwa, tena kwa mitutu wazi wazi, na vyombo vya dola.
Mwenyekiti walinzi wake wa serikali wamevaa nguo za chama.
Magari yote ya msafara, tunajua ni ya serikali, sasa yanatumika moja kwa moja na chama.
Kuna mmoja akadiriki kusema ma V8 ya chama ndio mafanikio ya chama.
Idara za maadhimisho kitaifa, idara ya serikali, kutumika moja kwa moja na chama.
Sasa mtu anajiuliza chama kimeishia wapi na dira imeanzia wapi.
Increasingly inaonekana kwamba sasa tunaipigia kura serikali.
Bashiru ana kazi kubwa ya kupambanua kwamba nyomi zinazoonekana si lazima ziwe za wafuasi wa chama, bali wananchi waliokusanywa na serikali vijijini ili kuishangilia serikali.
Mioyoni mwao kuna vitu tofauti kabisa.
Mwalimu aliwahi kusema Tujisahihishe.
Nami nilikuwa operation hiyo ya JKT, 1977.
Boss Kama hujui omba kueleweshwa.
Kampeni sio shughuli ya kiserikali hivyo hupaswi kutumia mali ya umma kufanya kampeni, Soma hata kanuni za maadili zinakataza. Je wale waiokuwa na serikali jioni watakuwa hawajatendewa haki? Hii ndio maana usitumie Mali ya umma kwa shughuli binafsi au za chama.
Pili hata marekani Rais anapotumia rasilimali za umma kwa private business au party business anapaswa kuzilipia.
Mali za umma ni pamoja na walinzi wake, magari/ndege etc. Soma acha kusikia story za vijiweni
Kupambana na mafisadi[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sacrifice aliyoifanya magufuli.kupambana na mafisadi .magaidi
Asipolindwa vzur usalama wake wa maisha ni mdogo sana....kwahyo wew uko tayar rais adhurike kisa wew umetaka....pumbaf.u